×

我們使用cookies幫助改善LingQ。通過流覽本網站,表示你同意我們的 cookie 政策.


image

Who is She?, 5- Aliacha Kuniandikia

Mbona unauliza maswali mengi kuhusu msichana anayeishi na ndugu yako?

Hajajibu barua pepe zangu kwa wiki nyingi.

Nadhani ninajua sababu.

Hiyo ni kwa nini?

Huenda ana shughuli nyingi tu.

Labda ana shughuli nyingi kuweza kukuandikia.

Nadhani ni kwa sababu anampenda msichana huyu.

Kwa nini unasema hivyo?

Unajuaje?

Kwa nini nasema hivyo?

Ndiyo, kwa nini unasema hivyo?

Tulikuwa tukiandikiana kila wakati.

Tulitumiana barua pepe kila wiki.

Aliacha kuniandikia.

Kwa hiyo?

Labda ana mambo mengine ya kufanya.

Sasa sijawahi kusikia kutoka kwake.

Yeye haniandikii tena.

Mbona unauliza maswali mengi kuhusu msichana anayeishi na ndugu yako? Why do you ask so many questions about the girl living with your brother?

Hajajibu barua pepe zangu kwa wiki nyingi. He has not answered my emails for many weeks.

Nadhani ninajua sababu. I think I know the reason.

Hiyo ni kwa nini? Why?

Huenda ana shughuli nyingi tu. Maybe he is just busy.

Labda ana shughuli nyingi kuweza kukuandikia. He is probably too busy to write to you.

Nadhani ni kwa sababu anampenda msichana huyu. I think it is because he is in love with this girl.

Kwa nini unasema hivyo? Why do you say that?

Unajuaje? How do you know?

Kwa nini nasema hivyo? Why do I say that?

Ndiyo, kwa nini unasema hivyo? Yes, why do you say that?

Tulikuwa tukiandikiana kila wakati. We used to write each other all the time.

Tulitumiana barua pepe kila wiki. We sent emails to each other every week.

Aliacha kuniandikia. He stopped writing to me.

Kwa hiyo? So what?

Labda ana mambo mengine ya kufanya. He probably has other things to do.

Sasa sijawahi kusikia kutoka kwake. Now I never hear from him.

Yeye haniandikii tena. He no longer writes to me.