×

我們使用cookies幫助改善LingQ。通過流覽本網站,表示你同意我們的 cookie 政策.


image

Who is She?, 12- Nataka Unisaidie

Sawa, lakini nina shughuli.

Unahitaji kuharakisha.

Tafadhali subiri.

Nahitaji sana msaada wako.

Siwezi kutumia siku nzima nikijibu tu maswali yako.

Sijali ikiwa nitapata tiketi ya maegesho.

Nataka unisaidie.

Na je ingekuwa ndugu yako?

Ungekuwa katika hali sawa na mimi.

Naam, nimeelewa.

Unataka kujua nini?

Na ningekupa dola mia moja?

Je! Ungenisaidia kujua zaidi kuhusu kile ndugu yangu na mwenzake wanafanya?

Unataka nimpeleleze ndugu yako?

La, siwezi kufanya hilo.

Sio haki kwa ndugu yako.

Na nikikupa dola mia tano, je, utafanya hivyo?

Hilo ni jambo lingine.

Bila shaka sifai kufanya hivyo, lakini kwa dola mia tano naweza kufanya hivyo.

Vizuri, Sasa nafahamu aina ya mtu nafanya kazi naye..

Unamaanisha nini kwa hilo?

Wataka msaada wangu au la?

Ndiyo, nataka msaada wako.

Sawa, lakini nina shughuli. OK but I am busy.

Unahitaji kuharakisha. You had better hurry.

Tafadhali subiri. Please wait.

Nahitaji sana msaada wako. I really need you to help me.

Siwezi kutumia siku nzima nikijibu tu maswali yako. I cannot spend the whole day just answering your questions.

Sijali ikiwa nitapata tiketi ya maegesho. I do not care if I get a parking ticket.

Nataka unisaidie. I want you to help me.

Na je ingekuwa ndugu yako? What if it were your brother?

Ungekuwa katika hali sawa na mimi. You would be in the same situation as me.

Naam, nimeelewa. Well, get to the point.

Unataka kujua nini? What do you want to know?

Na ningekupa dola mia moja? What if I gave you one hundred dollars?

Je! Ungenisaidia kujua zaidi kuhusu kile ndugu yangu na mwenzake wanafanya? Would you help me find out more about what my brother and his roommate are doing?

Unataka nimpeleleze ndugu yako? You want me to spy on your brother?

La, siwezi kufanya hilo. No, I will not do that.

Sio haki kwa ndugu yako. It is not fair to your brother.

Na nikikupa dola mia tano, je, utafanya hivyo? What if I give you five hundred dollars, would you do it then?

Hilo ni jambo lingine. That is a different story.

Bila shaka sifai kufanya hivyo, lakini kwa dola mia tano naweza kufanya hivyo. Of course I really should not do it, but for five hundred dollars, I might be willing to do it.

Vizuri, Sasa nafahamu aina ya mtu nafanya kazi naye.. Good, Now I know the kind of person I am dealing with.

Unamaanisha nini kwa hilo? What do you mean by that?

Wataka msaada wangu au la? Do you want my help or not?

Ndiyo, nataka msaada wako. Yes I want your help.