Mbosso - Hodari
shombe shombe mtoto laini laini
anawaka wakaa, (aaaah)
wanga wape vidonge
nimebaini baini
wanatapa tapaaa....(aaaah)
(mmmmhh) ..mi nawe mpaka kiama
tuwaombee uzima
waroge kwa kuchutama
na wasimame wimaa
kamwe watopata mwanya
hadithi fitina
wapike mabiringanya
si tutoke dinner
nalegeaaaa
ukinitazama yako macho,
yako macho..
(aah)..nalegeaaa
ikigusana yangu na yako
yangu na yako
katoto hodari
hodari wa mapenzi
jamani hodaarii
hodari wa mapenzi
kwa michezo
ya chumbani
hodaaarii
hodari wa mapenzi
mtundu kitandani, Hodarii!!
Hodari wa mapeenzi
katoto nyakanga,
kamemzidi somo na kumbwi
chumbani kiranga
kinaishanga komo kirungi
ni sakata makirikiri
kuniwasha ka piripiri
fundi haswa amekithiri
hunipa nilewe
kwasa kwasa ndani bingiri,
za kukata saga ka chili,
nani haswa unafikiri,
kama sio wewe?
nichezeshe kidaruso usiku wa manane
(vangaa!)
nikande kipanda uso tufunikane
(kanga!)
nipitishe boda la huko tukakutane,
(Tanga!)
siye pini wa uputo wasijichanganye, watapasuka!
Nalegeeaa!
ukinitazama yako macho,
yako macho!
(aah), nalegeeaaaa,
ikigusana yangu na yako
yangu na yako
katoto hodari
hodari wa mapenzi
jamani hodari
hodari wa mapenzi
kiuno kunengua, hodaari!
hodari wa mapenzi
bidu kulibidua, hodaari
hodari wa mapenzi
(wasafi)mmh Wema Sepetu, hodari!
hodari wa mapenzi
Uwoya, hodari!
hodari wa mapenzi
Mama Cookie hodari
hodari wa mapenzi
Mama Dangote, hodari!
hodari wa mapenzi
Jackie Wolper, hodari
Hodari wa mapenzi
Zari Mama Tiffa, hodari!
Hodari wa mapenzi
Ohesmakan, hodari
Hodari wa mapenzi
Elizabeth Michael, hodaari!
Hodari wa mapenzi