×

Nós usamos os cookies para ajudar a melhorar o LingQ. Ao visitar o site, você concorda com a nossa política de cookies.

LingQ Mini Stories, 6- Esta na Richard – Text to read

LingQ Mini Stories, 6- Esta na Richard

Iniciante 1 Suaíli lesson to practice reading

Comece a aprender esta lição agora

Esta na Richard huwa wamechoka usiku.

Wanakula chakula cha usiku kwa pamoja saa moja usiku.

Huwa wanakula chakula cha usiku na mtoto wao wa kiume.

Wanapumzika na kutizama televisheni kwa pamoja.

Mtoto wao wa kiume huwa anaangalia televisheni pia.

Wanamlaza mtoto wao wa kiume kitandani saa mbili usiku.

Esta anaoga maji ya moto.

Richard huwa anaoga bomba la mvua na huwa anapiga mswaki meno yake.

Esta huwa anasoma kitabu, lakini huwa analala.

Richard pia huwa analala muda sio mrefu.

Hii ni hadithi hiyo, ikisimuliwa na Esta.

Richard na mimi huwa tumechoka usiku.

Tunakula chakula cha usiku kwa pamoja saa moja

Mtoto wetu wa kiume hula chakula cha usiku na sisi.

Huwa tunapumzika na kutizama televisheni kwa pamoja.

Mtoto wetu wa kiume huwa anaangalia televisheni pia.

Tunamlaza mtoto wetu wa kiume kitandani saa mbili.

Ninaoga maji ya moto.

Richard huwa anaoga bomba la mvua na huwa anapiga mswaki meno yake.

Huwa ninasoma kitabu, lakini huwa ninalala.

Richard pia huwa analala muda sio mrefu.

Maswali.

1) Richard na Esta wamechoka. Je, Richard na Esta wamechoka? Ndiyo, wamechoka.

2) Huwa wanakula chakula cha usiku saa moja. Je, huwa wanakula chakula cha usiku saa kumi na mbili? Hapana, huwa hawali chakula cha usiku saa kumi na mbili. Wanakula saa moja.

3) Wana mtoto wa kiume. Je, wana binti? Hapana, hawana binti, lakini wana mtoto wa kiume.

4) Mtoto wao wa kiume huwa anaangalia televisheni pamoja nao. Je, mtoto wao wa kiume huwa anatizama televisheni? Ndiyo, mtoto wao wa kiume huwa anatizama televisheni nao.

5) Huwa anaenda kitandani saa mbili. Je, mtoto wao wa kiume huwa anaenda kitandani saa tatu? Hapana, huwa anaenda kitandani saa mbili.

6) Esta huwa anaoga maji ya moto. Je, Esta huwa anaoga kwenye bomba la mvua? Hapana, huwa haogi kwenye bomba la mvua. Huwa anaoga maji ya moto.

7) Richard huwa anaoga bomba la mvua na kupiga mswaki meno yake. Je Richard huwa anapiga mswaki meno yake? Ndiyo, Richard huwa anaoga bomba la mvua na kupiga mswaki meno yake.

8) Esta huwa anasoma kitabu. Je, Esta huwa anasoma kitabu? Ndiyo, huwa anasoma kitabu.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE