×

Nós usamos os cookies para ajudar a melhorar o LingQ. Ao visitar o site, você concorda com a nossa política de cookies.

image

LingQ Mini Stories, 26- Simba na Chumba Chake

Simba atasafisha chumba chake.

Ana mambo mengi ya kufanya.

Kwanza, ataweka nguo zake chafu kwenye rundo.

Kisha, atafua nguo zake kwenye mashine ya kufulia.

Pia atafanya usafi chini ya kitanda chake.

Atapata mwanasesere nyingi chini ya kitanda chake.

Ataweka mwanasesere zake zote kwenye chumba.

Mwishowe, atasafisha dawati lake na kuweka kazi yake ya shule kwenye dawati lake.

Anadhani Mama yake atafurahi sana.

Hapa kuna hadithi hiyo iliyosimuliwa kwa njia tofauti.

Nilikuwa nikisafisha chumba changu.

Nilikuwa na vitu vingi vya kufanya.

Kwanza, niliweka nguo zangu chafu kwenye rundo.

Halafu, niliosha nguo zangu kwenye mashine ya kuosha.

Pia nilisafisha chini ya kitanda changu.

Nilipata mwanasesere chini ya kitanda.

Niliweka mwanasesere zote chumbani.

Hatimaye, nilisafisha meza yangu na kuweka kazi yangu ya shule kwenye meza yangu.

Nilifikiri Mama yangu angefurahi sana.

Maswali:

Moja: Simba atasafisha chumba chake. Simba atafanya nini? Atasafisha chumba chake.

Mbili: Ana mambo mengi ya kufanya. Je Ana mambo machache ya kufanya? Hapana, yeye hana vitu vichache vya kufanya. Ana mambo mengi ya kufanya.

Tatu: kwanza, ataweka nguo zake chafu kwenye rundo. Atafanya nini kwanza? Ataweka nguo zake chafu kwenye rundo.

Nne: Basi, ataosha nguo zake kwenye mashine ya kuosha. Basi atafanya nini? Halafu, ataosha nguo zake kwenye mashine ya kuosha.

Tano: Simba pia atasafisha chini ya kitanda chake. Je Simba atafanya nini kingine? Simba pia atasafisha chini ya kitanda chake.

Sita: Simba alikuwa akipata vitu vya kuchezea chini ya kitanda chake. Simba alikuwa akipata nini chini ya kitanda chake? Alikuwa akipata vitu vya kuchezea chini ya kitanda chake.

Saba: Simba aliweka vitu vyote vya kuchezea chumbani. Aliweka wapi vitu vya kuchezea? Aliweka vitu vyote vya kuchezea kwenye kabati.

Nane: Mwishowe, Simba alisafisha dawati lake na kuweka kazi yake ya shule hapo. Je Simba alifanya nini mwishowe? Mwishowe, Simba alisafisha dawati lake na kuweka kazi yake ya shule hapo.

Tisa: Simba alifikiria mama yake atafurahi sana. Je Simba alifikiria mama yake angehisi aje? Simba alifikiria mama yake atafurahi sana.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE