×

우리는 LingQ를 개선하기 위해서 쿠키를 사용합니다. 사이트를 방문함으로써 당신은 동의합니다 쿠키 정책.


image

Storybooks Canada, Kuhesabu wanyama

Kuhesabu wanyama

Tembo mmoja anakwenda kunywa maji.

https://storybookscanada.ca/images/0327/03.jpg" alt="Two giraffes drinking water."/>

Twiga wawili wanaenda kunywa maji.

https://storybookscanada.ca/images/0327/04.jpg" alt="Three buffaloes and four birds near water."/>

Nyati watatu na ndege wanne nao wanaenda kunywa maji.

https://storybookscanada.ca/images/0327/05.jpg" alt="Impalas and warthogs near water."/>

Swala watano na ngiri sita wanatembea kuelekea kwenye maji.

https://storybookscanada.ca/images/0327/06.jpg" alt="Zebras running to the water."/>

Punda milia saba wanakimbia kuelekea kwenye maji.

https://storybookscanada.ca/images/0327/07.jpg" alt="Frogs and fish swimming in water."/>

Vyura wanane na samaki tisa wanaogelea kwenye maji.

https://storybookscanada.ca/images/0327/08.jpg" alt="A lion roaring at animals next to the water."/>

Simba mmoja anaunguruma. Naye anataka kunywa maji. Nani anamwogopa simba?

https://storybookscanada.ca/images/0327/09.jpg" alt="An elephant and lion drinking water."/>

Tembo mmoja anakunywa maji na simba.

Kuhesabu wanyama Tiere zählen Counting animals contando animales Compter les animaux 動物を数える 동물 세기 Liczenie zwierząt

Tembo mmoja anakwenda kunywa maji. One elephant goes to drink water.

Two giraffes drinking water.

Twiga wawili wanaenda kunywa maji. Two giraffes go to drink water.

Three buffaloes and four birds near water.

Nyati watatu na ndege wanne nao wanaenda kunywa maji. Three buffaloes and four birds also go to drink water.

Impalas and warthogs near water.

Swala watano na ngiri sita wanatembea kuelekea kwenye maji. Five antelopes and six wild boars are walking towards the water.

Zebras running to the water.

Punda milia saba wanakimbia kuelekea kwenye maji. Seven striped donkeys are running towards the water.

Frogs and fish swimming in water.

Vyura wanane na samaki tisa wanaogelea kwenye maji. Eight frogs and nine fish swim in the water.

A lion roaring at animals next to the water.

Simba mmoja anaunguruma. Naye anataka kunywa maji. Nani anamwogopa simba? A lion roars. And he wants to drink water. Who is afraid of the lion? Un lion rugit. Et il veut boire de l'eau. Qui a peur du lion ?

An elephant and lion drinking water.

Tembo mmoja anakunywa maji na simba. An elephant is drinking water with a lion.