×

Utilizziamo i cookies per contribuire a migliorare LingQ. Visitando il sito, acconsenti alla nostra politica dei cookie.


image

LingQ Mini Stories, 11- Nyumba Yangu Ni Ndogo Sana

Nyumba ya Jumanne ni ndogo sana.

Anataka kuhamia nyumba mpya.

Anatazama picha za nyumba kwenye intaneti.

Nyumba moja ni bei nafuu sana.

Ila imezeeka na ipo tupu.

Nyumba nyingine ina samani ndani yake.

Ina kitanda, televisheni, na jiko.

Ila, hiyo nyumba ni gharama.

Jumanne anaamua kutunza fedha zaidi.

Namna hiyo, ataweza kuhama mwaka ujao.

Hii ni hadithi hiyo ikisimuliwa na Jumanne.

Nyumba yangu ni ndogo sana.

Ninataka kuhamia kwenye nyumba mpya.

Ninatazama picha za nyumba kwenye intaneti.

Nyumba moja ni bei rahisi.

Lakini imezeeka na ni tupu.

Nyumba nyingine ina samani ndani yake.

Ina kitanda, televisheni, na jiko.

Ila, nyumba hiyo ni gharama.

Ninaamua kutunza fedha zaidi.

Namna hiyo, nitaweza kuhama mwaka ujao.

Maswali.

1) Nyumba ya Jumanne ni ndogo sana. Je, nyumba ya Jumanne ni kubwa? Hapana, nyumba yake sio kubwa. Ni ndogo sana.

2) Jumanne anataka kuhamia kwenye nyumba mpya. Je, Jumanne anataka kuhama? Ndiyo, Jumanne anataka kuhamia kwenye nyumba mpya.

3) Jumanne anatazama picha za nyumba kwenye intaneti. Je, Jumanne anatazama picha za magari? Hapana, Jumanne hatazami picha za magari. Anatazama picha za nyumba.

4) Nyumba ya kwanza ni bei nafuu. Je, nyumba ya kwanza ni gharama? Hapana, nyumba ya kwanza sio gharama. Ni bei nafuu.

5) Nyumba ya kwanza imezeeka na ipo tupu. Je, nyumba ya kwanza imezeeka? Ndiyo, nyumba ya kwanza imezeeka na ipo tupu.

6) Nyumba nyingine ina kitanda, televisheni, na jiko. Je, nyumba nyingine ina samani? Ndiyo, nyumba nyingine ina kitanda, televisheni, na jiko.

7) Nyumba yenye samani ni gharama. Je, nyumba yenye samani ni bei nafuu? Hapana, nyumba yenye samani sio bei nafuu, ni gharama.

8) Jumanne anaamua kutunza fedha zaidi. Je, Jumanne anataka kutunza fedha zaidi? Ndiyo, Jumanne anaamua kutunza fedha zaidi.

9) Jumanne anaweza kuhama mwaka ujao. Je, Jumanne anaweza kuhama mwaka huu? Hapana, Jumanne hawezi kuhama mwaka huu. Anaweza kuhama mwaka ujao.

Nyumba ya Jumanne ni ndogo sana. Das Haus am Dienstag ist sehr klein. Brad's apartment is too small. La maison de mardi est très petite.

Anataka kuhamia nyumba mpya. Er möchte in ein neues Haus umziehen. He wants to move to a new apartment.

Anatazama picha za nyumba kwenye intaneti. He looks at pictures of apartments on the internet.

Nyumba moja ni bei nafuu sana. One apartment is very cheap.

Ila imezeeka na ipo tupu. Aber es ist alt und leer. But it is old and empty.

Nyumba nyingine ina samani ndani yake. In einem anderen Haus stehen Möbel. Another apartment has furniture.

Ina kitanda, televisheni, na jiko. It has a bed, a TV, and a stove.

Ila, hiyo nyumba ni gharama. That apartment is expensive, though.

Jumanne anaamua kutunza fedha zaidi. Am Dienstag beschließt er, mehr Geld zu behalten. Brad decides to save more money.

Namna hiyo, ataweza kuhama mwaka ujao. Auf diese Weise kann er nächstes Jahr umziehen. Then, he can move next year.

Hii ni hadithi hiyo ikisimuliwa na Jumanne. Here is the same story told in a different way.

Nyumba yangu ni ndogo sana. My apartment is too small. Ma maison est très petite.

Ninataka kuhamia kwenye nyumba mpya. I want to move to a new apartment.

Ninatazama picha za nyumba kwenye intaneti. I look at pictures of apartments on the internet.

Nyumba moja ni bei rahisi. One apartment is very cheap. Une maison est bon marché.

Lakini imezeeka na ni tupu. But it is old and empty.

Nyumba nyingine ina samani ndani yake. In einem anderen Haus stehen Möbel. Another apartment has furniture.

Ina kitanda, televisheni, na jiko. It has a bed, a TV, and a stove.

Ila, nyumba hiyo ni gharama. That apartment is expensive, though.

Ninaamua kutunza fedha zaidi. I decide to save more money.

Namna hiyo, nitaweza kuhama mwaka ujao. Then, I can move next year.

Maswali. Questions:

1) Nyumba ya Jumanne ni ndogo sana. One: Brad's apartment is too small. Je, nyumba ya Jumanne ni kubwa? Is Brad's apartment big? Hapana, nyumba yake sio kubwa. No, his apartment is not big. Ni ndogo sana. It is too small.

2) Jumanne anataka kuhamia kwenye nyumba mpya. Two: Brad wants to move to a new apartment. Je, Jumanne anataka kuhama? Does Brad want to move? Ndiyo, Jumanne anataka kuhamia kwenye nyumba mpya. Yes, Brad wants to move to a new apartment.

3) Jumanne anatazama picha za nyumba kwenye intaneti. Three: Brad looks at pictures of apartments on the internet. Je, Jumanne anatazama picha za magari? Does Brad look at pictures on the internet? Hapana, Jumanne hatazami picha za magari. Yes, Brad looks at pictures of apartments on the internet. Anatazama picha za nyumba. He looks at the pictures of the house.

4) Nyumba ya kwanza ni bei nafuu. Four: The first apartment is cheap. Je, nyumba ya kwanza ni gharama? Is the first apartment expensive? Hapana, nyumba ya kwanza sio gharama. No, the first apartment is not expensive. Ni bei nafuu. It is cheap.

5) Nyumba ya kwanza imezeeka na ipo tupu. Five: The first apartment is old and empty. Je, nyumba ya kwanza imezeeka? Is the first apartment old? Ndiyo, nyumba ya kwanza imezeeka na ipo tupu. Yes, the first apartment is old and empty.

6) Nyumba nyingine ina kitanda, televisheni, na jiko. Six: The other apartment has a bed, a TV, and a stove. Je, nyumba nyingine ina samani? Does the other apartment have furniture? Ndiyo, nyumba nyingine ina kitanda, televisheni, na jiko. Yes, the other apartment has a bed, a TV, and a stove.

7) Nyumba yenye samani ni gharama. 7) Ein möbliertes Haus ist teuer. Seven: The other apartment is expensive. Je, nyumba yenye samani ni bei nafuu? Is the other apartment cheap? Hapana, nyumba yenye samani sio bei nafuu, ni gharama. No, the other apartment is not cheap, it is expensive.

8) Jumanne anaamua kutunza fedha zaidi. Eight: Brad decides to save more money. Je, Jumanne anataka kutunza fedha zaidi? Does Brad want to save more money? Ndiyo, Jumanne anaamua kutunza fedha zaidi. Yes, Brad decides to save more money.

9) Jumanne anaweza kuhama mwaka ujao. Nine: Brad can move next year. Je, Jumanne anaweza kuhama mwaka huu? Kann der Dienstag dieses Jahr verschoben werden? Can Brad move this year? Hapana, Jumanne hawezi kuhama mwaka huu. No, Brad can't move this year. Anaweza kuhama mwaka ujao. He can move next year.