×

Usamos cookies para ayudar a mejorar LingQ. Al visitar este sitio, aceptas nuestras politicas de cookie.

Rebaja de Año Nuevo - Semana Extendida ¡Hasta 50% de descuento!
image

Swahili music, Annette Tenaya - mimi na wewe

Annette Tenaya - mimi na wewe

oh oh oh oh

tamati ya kusaka kweli imekwisha

tangu nilipokupata wewe wangu mchumba

Jalali ndiye ambaye kweli atambua

jinsi roho yangu imejaa furaha

I.. oh I..

siwezi eleza yote kwa maneno

I.. baby I..

kwa moyo wangu wote namshukuru Muumba

hapa leo

ni mimi na we

milele oh..

ni mimi na we

hapa leo

ni mimi na we

milele oh..

ni mimi na we

hapa leo

ninakiri nitakutunza, nitakulinda milele

yaje mawimbi nitasimama nawe

hakuna ambaye atatutenga mimi na wewe

I.. oh I..

siwezi eleza yote kwa maneno

I.. baby I..

kwa moyo wangu wote namshukuru Muumba

hapa leo

ni mimi na we

milele oh..

ni mimi na we

hapa leo

ni mimi na we oh..

milele oh..

ni mimi na we

hapa leo

haiya cheza! cheza! usiogope cheza!

hapa ni Mola ametuleta

hatutachoka kueleza

basi cheza! cheza! usiogope cheza!

hapa ni Mola ametuleta

hatutachoka kueleza

basi cheza! cheza! usiogope cheza!

hapa ni Mola ametuleta

hatutachoka kueleza

basi cheza! cheza! usiogope cheza!

hapa ni Mola ametuleta

hatutachoka kueleza

ni mimi na we

hapa leo

ni mimi na we milele oh..

ni mimi na we

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE