Kwa nini inakuhusu ikiwa ndugu yako ana mpenzi?
Nina sababu zangu.
Najua niko sawa.
Labda msichana anaishi tu katika nyumba.
Nadhani ni zaidi ya hayo.
Labda anashiriki tu kulipa kodi, na sio mpenzi wake.
Siamini hilo.
Ni kawaida sana siku hizi kwa watu kuishi tu pamoja.
Je! Msichana anavutia?
Ndiyo, kwa kweli anavutia sana.
Pengine hata niseme kuwa yeye ni mrembo.