×

We use cookies to help make LingQ better. By visiting the site, you agree to our cookie policy.


image

LingQ Mini Stories, 4- Ni Mwanafunzi Mzuri

Binti yangu huwa anakwenda shule kila siku.

Huwa anapenda shule sana.

Ni mwanafunzi mzuri shuleni.

Walimu wanampenda binti yangu sana.

Binti yangu pia ana marafiki wengi.

Rafiki yake wa karibu ni Mariam.

Mariam huwa anapenda hisabati na sayansi.

Binti yangu huwa anapenda Kiingereza na historia.

Huwa wanasaidiana na kazi zao za nyumbani.

Wanasoma kwa bidii na wanafanya vizuri shuleni.

Hii ni hadithi hiyo, ikisimuliwa na binti huyo.

Huwa ninakwenda shule kila siku.

Ninapenda shule sana

Mimi ni mwanafunzi mzuri shuleni.

Walimu wangu wananipenda sana.

Pia nina marafiki wengi.

Rafiki yangu wa karibu ni Mariam.

Huwa anapenda hesabu na sayansi.

Mimi ninapenda Kiingereza na historia.

Huwa tunasaidiana na kazi zetu za nyumbani.

Tunasoma kwa bidii na tunafanya vizuri shuleni.

Maswali:

1) Binti huyo huwa anakwenda shuleni kila siku. Je, binti huyo huwa anaenda shuleni kila siku? Ndiyo, huwa anaenda shule kila siku.

2) Binti huyo huwa anapenda shule. Je, Binti huyo huwa anapenda shule? Ndiyo, huwa anapenda shule.

3) Binti huyo ni mwanafunzi mzuri. Je, binti huyu ni mwanafunzi mbaya? Hapana, binti huyo sio mwanafunzi mbaya. Ni mwanafunzi mzuri.

4) Walimu wanampenda binti huyo. Je, walimu wanampenda binti huyo? Ndiyo, walimu wanampenda.

5) Rafiki yake wa karibu anaitwa Mariam. Je, rafiki yake wa karibu anaitwa Anna? Hapana, rafiki yake wa karibu anaitwa Mariam.

6) Mariam huwa anapenda hisabati na sayansi. Je, Mariam huwa anapenda Kiingeleza na historia? Hapana, huwa anapenda hisabati na sayansi.

7) Binti huyo na Mariam wanafanya vizuri shuleni. Je, binti huyo anafanya vizuri shuleni? Ndiyo, binti huyo na Mariam wanafanya vizuri shuleni.

Binti yangu huwa anakwenda shule kila siku. Meine Tochter geht jeden Tag zur Schule. My daughter goes to school every day. Ma fille va à l'école tous les jours. Mijn dochter gaat elke dag naar school.

Huwa anapenda shule sana. Er mag die Schule immer sehr. She likes school very much. Il aime toujours beaucoup l'école.

Ni mwanafunzi mzuri shuleni. She is a good student at school. C'est un bon élève à l'école. Ele é um bom aluno na escola.

Walimu wanampenda binti yangu sana. The teachers like my daughter a lot. Les professeurs aiment beaucoup ma fille.

Binti yangu pia ana marafiki wengi. Meine Tochter hat auch viele Freunde. My daughter also has many friends. Ma fille a aussi de nombreux amis.

Rafiki yake wa karibu ni Mariam. Ihre beste Freundin ist Mariam. Her best friend is Amy. Sa meilleure amie est Mariam.

Mariam huwa anapenda hisabati na sayansi. Mariam mag Mathematik und Naturwissenschaften. Amy likes math and science.

Binti yangu huwa anapenda Kiingereza na historia. My daughter likes English and history. Ma fille aime toujours l'anglais et l'histoire.

Huwa wanasaidiana na kazi zao za nyumbani. Sie helfen sich immer gegenseitig bei den Hausaufgaben. They help each other with homework. Ze helpen elkaar altijd met hun huiswerk.

Wanasoma kwa bidii na wanafanya vizuri shuleni. Sie lernen fleißig und sind in der Schule gut. They study hard and do well in school. Eles estudam muito e vão bem na escola.

Hii ni hadithi hiyo, ikisimuliwa na binti huyo. Dies ist die Geschichte, die das Mädchen erzählt. Here is the same story told in a different way. Dit is het verhaal, verteld door het meisje.

Huwa ninakwenda shule kila siku. I go to school every day.

Ninapenda shule sana I like school very much.

Mimi ni mwanafunzi mzuri shuleni. I am a good student at school.

Walimu wangu wananipenda sana. My teachers like me a lot.

Pia nina marafiki wengi. Ich habe auch viele Freunde. I also have many friends.

Rafiki yangu wa karibu ni Mariam. My best friend is Amy.

Huwa anapenda hesabu na sayansi. Er mag Mathematik und Naturwissenschaften. She likes math and science.

Mimi ninapenda Kiingereza na historia. I like English and history.

Huwa tunasaidiana na kazi zetu za nyumbani. We help each other with homework.

Tunasoma kwa bidii na tunafanya vizuri shuleni. Wir lernen fleißig und sind in der Schule gut. We study hard and do well in school.

Maswali: Questions:

1) Binti huyo huwa anakwenda shuleni kila siku. One: The daughter goes to school every day. Je, binti huyo huwa anaenda shuleni kila siku? Does the daughter go to school every day? Ndiyo, huwa anaenda shule kila siku. Yes, she goes to school every day.

2) Binti huyo huwa anapenda shule. Two: The daughter likes school. Je, Binti huyo huwa anapenda shule? Does the daughter like school? Ndiyo, huwa anapenda shule. Yes, she likes school.

3) Binti huyo ni mwanafunzi mzuri. Three: The daughter is a good student. Je, binti huyu ni mwanafunzi mbaya? Is the daughter a bad student? Hapana, binti huyo sio mwanafunzi mbaya. No, the daughter is not a bad student. Ni mwanafunzi mzuri. She is a good student.

4) Walimu wanampenda binti huyo. Four: The teachers like the daughter. Je, walimu wanampenda binti huyo? Do the teachers like the daughter? Ndiyo, walimu wanampenda. Yes, the teachers like her.

5) Rafiki yake wa karibu anaitwa Mariam. Five: Her best friend is named Amy. 5) Sa meilleure amie s'appelle Mariam. Je, rafiki yake wa karibu anaitwa Anna? Is her best friend named Julie? Hapana, rafiki yake wa karibu anaitwa Mariam. No, her best friend is named Amy.

6) Mariam huwa anapenda hisabati na sayansi. Six: Amy likes math and science. Je, Mariam huwa anapenda Kiingeleza na historia? Does Amy like English and history? Hapana, huwa anapenda hisabati na sayansi. No, she likes math and science. Non, il aime toujours les mathématiques et les sciences.

7) Binti huyo na Mariam wanafanya vizuri shuleni. Seven: The daughter and Amy do well in school. Je, binti huyo anafanya vizuri shuleni? Does the daughter do well in school? La fille réussit-elle bien à l'école ? Ndiyo, binti huyo na Mariam wanafanya vizuri shuleni. Yes, the daughter and Amy do well in school. Oui, la fille et Mariam réussissent bien à l'école.