×

We use cookies to help make LingQ better. By visiting the site, you agree to our cookie policy.


image

LingQ Mini Stories, 18- Hajui Avae Nini

Happy anajiandaa asubuhi.

Hajui avae nini.

Anatazama ndani ya kabati lake la nguo.

Anaona sketi ya kahawia.

Lakini kuna baridi sana leo.

Anaona jozi ya suruali nyeusi sakafuni.

Lakini ni chafu kidogo.

Na ana kikao kazini leo.

Happy anavaa sketi ya kahawia.

Inampendeza, lakini miguu yake ni ya baridi.

Hii ni hadithi hiyo ikisimuliwa na Happy.

Ninajiandaa asubuhi.

Sijui nivae nini.

Ninatazama ndani ya kabati langu la nguo.

Ninaona sketi ya kahawia.

Lakini kuna baridi sana leo.

Ninaona jozi ya suruali nyeusi sakafuni.

Lakini ni chafu kidogo.

Na nina kikao kazini leo.

Ninavaa sketi ya kahawia.

Inanipendeza, lakini miguu yangu ni ya baridi.

Maswali.

1) Happy anajiandaa asubuhi. Je, Happy anajiandaa usiku? Hapana, hajiandai usiku. Anajiandaa asubuhi.

2) Happy hajui avae nini. Je, Happy anajua avae nini? Hapana, hajui avae nini.

3) Happy anatazama ndani ya kabati lake la nguo ili kuona kitu cha kuvaa. Je, Happy anatazama chini ya kitanda? Hapana, Happy hatazami chini ya kitanda. Anatazama ndani ya kabati la nguo.

4) Kuna sketi ya kahawia ndani ya kabati la nguo. Je, kuna sketi ya kahawia ndani ya kabati la nguo? Ndiyo, kuna sketi ya kahawia ndani ya kabati la nguo.

5) Kuna baridi sana leo. Je, kuna joto leo? Hapana, hakuna joto leo. Kuna baridi sana.

6) Happy anaona jozi ya suruali nyeusi sakafuni. Je, suruali zipo kitandani? Hapana, suruali hazipo kitandani. Zipo sakafuni.

7) Happy ana kikao kazini leo. Je, Happy ana kikao leo? Ndiyo, Happy ana kikao kazini leo.

8) Happy anavaa sketi ya kahawia. Je, Happy anavaa suruali nyeusi? Hapana, Happy hajavaa suruali. Anavaa sketi ya kahawia.

9) Miguu ya Happy ni ya baridi kwa sababu amevaa sketi. Je, miguu ya Happy ni ya baridi? Ndiyo, miguu ya Happy ni ya baridi kwa sababu amevaa sketi.

Happy anajiandaa asubuhi. Glücklich ist es, sich morgens fertig zu machen. Ashley is getting dressed in the morning. Happy se prépare le matin.

Hajui avae nini. Er weiß nicht, was er anziehen soll. She doesn't know what to wear.

Anatazama ndani ya kabati lake la nguo. She looks in her closet.

Anaona sketi ya kahawia. She sees a brown skirt.

Lakini kuna baridi sana leo. But it's very cold today!

Anaona jozi ya suruali nyeusi sakafuni. She sees a pair of black pants.

Lakini ni chafu kidogo. Aber es ist ein wenig schmutzig. But they are very old.

Na ana kikao kazini leo. And she has a meeting at work today.

Happy anavaa sketi ya kahawia. Happy trägt einen braunen Rock. Ashley puts on the brown skirt.

Inampendeza, lakini miguu yake ni ya baridi. She looks good, but her legs are cold.

Hii ni hadithi hiyo ikisimuliwa na Happy. Here is the same story told in a different way.

Ninajiandaa asubuhi. I am getting dressed in the morning.

Sijui nivae nini. I don't know what to wear.

Ninatazama ndani ya kabati langu la nguo. I look in my closet.

Ninaona sketi ya kahawia. I see a brown skirt.

Lakini kuna baridi sana leo. Aber heute ist es sehr kalt. But it's very cold today!

Ninaona jozi ya suruali nyeusi sakafuni. I see a pair of black pants.

Lakini ni chafu kidogo. But they are very old.

Na nina kikao kazini leo. And I have a meeting at work today.

Ninavaa sketi ya kahawia. I put on the brown skirt.

Inanipendeza, lakini miguu yangu ni ya baridi. Mir gefällt es, aber meine Füße sind kalt. I look good, but my legs are cold.

Maswali. Questions:

1) Happy anajiandaa asubuhi. One: Ashley is getting dressed in the morning. Je, Happy anajiandaa usiku? Is Ashley getting dressed at night? Hapana, hajiandai usiku. No, she is not getting dressed at night. Anajiandaa asubuhi. She is getting dressed in the morning.

2) Happy hajui avae nini. Two: Ashely does not know what to wear. Je, Happy anajua avae nini? Does Ashley know what to wear? Hapana, hajui avae nini. No, she does not know what to wear.

3) Happy anatazama ndani ya kabati lake la nguo ili kuona kitu cha kuvaa. Three: Ashley looks in her closet for something to wear. Je, Happy anatazama chini ya kitanda? Does Ashley look under the bed? Hapana, Happy hatazami chini ya kitanda. No, Ashley doesn't look under the bed. Anatazama ndani ya kabati la nguo. She looks into the wardrobe.

4) Kuna sketi ya kahawia ndani ya kabati la nguo. Four: There is a brown skirt in the closet. Je, kuna sketi ya kahawia ndani ya kabati la nguo? Is there a brown skirt in the closet? Ndiyo, kuna sketi ya kahawia ndani ya kabati la nguo. Yes, there is a brown skirt in the closet.

5) Kuna baridi sana leo. Five: It is very cold today. Je, kuna joto leo? Is it warm today? Hapana, hakuna joto leo. No, it is not warm today. Kuna baridi sana. It is very cold.

6) Happy anaona jozi ya suruali nyeusi sakafuni. Six: Ashley sees a pair of black pants. Je, suruali zipo kitandani? Liegen Hosen auf dem Bett? Does Ashley see some pants? Hapana, suruali hazipo kitandani. Yes, Ashley sees a pair of black pants. Zipo sakafuni. They are on the floor.

7) Happy ana kikao kazini leo. Seven: Ashley has a meeting at work today. Je, Happy ana kikao leo? Does Ashley have a meeting today? Ndiyo, Happy ana kikao kazini leo. Yes, Ashley has a meeting at work today.

8) Happy anavaa sketi ya kahawia. 8) Ashley wears a brown skirt. Je, Happy anavaa suruali nyeusi? Does Ashley wear black pants? Hapana, Happy hajavaa suruali. No, Ashley is not wearing pants. Anavaa sketi ya kahawia. She wears a brown skirt.

9) Miguu ya Happy ni ya baridi kwa sababu amevaa sketi. 9) Ashley's feet are cold because he is wearing a skirt. Je, miguu ya Happy ni ya baridi? Are Ashley's feet cold? Ndiyo, miguu ya Happy ni ya baridi kwa sababu amevaa sketi. Yes, Ashley's feet are cold because he is wearing a skirt.