×

我們使用cookies幫助改善LingQ。通過流覽本網站,表示你同意我們的 cookie 政策.

Who is She?, 9- Anamiliki Nyumba — 閱讀文本

Who is She?, 9- Anamiliki Nyumba

初級1 斯瓦希里語 課程,練習閱讀

立即開始學習本課

Msichana alihamia nyumba lini?

Ngoja nikumbuke.

Siwezi kukumbuka.

Tafadhali jaribu kukumbuka.

Najaribu kukumbuka.

Ilikuwa kama lini?

Nahitaji kujua.

Kulingana nami ni kama alihamia katika nyumba miaka miwili iliyopita.

Una uhakika?

Ndiyo, Hata ni nyumba yake.

Anamiliki nyumba.

Nyumba ni ya msichana?

Inashangaza!

Ndiyo, Nakumbuka wakati alipohamia.

Ilikuwa Novemba.

Siku hiyo kulikuwa na theluji.

Una uhakika?

Ndiyo Ndugu yako alihamia miezi sita tu iliyopita.

Kweli?

Unajuaje wakati ndugu yangu alihamia?

Nakumbuka kwamba ilikuwa usiku wa manane na mvua ilikuwa inanyesha.

Mbona uliweza kumtambua?

Alipiga kelele nyingi.

Alikuwa na marafiki waliomsaidia kuhama.

Wote wapiga kelele nyingi.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE