×

我們使用cookies幫助改善LingQ。通過流覽本網站,表示你同意我們的 cookie 政策.

Who is She?, 6- Hii Inaweza Kutokea — 閱讀文本

Who is She?, 6- Hii Inaweza Kutokea

初級1 斯瓦希里語 課程,練習閱讀

立即開始學習本課

Huenda alipoteza anwani yako ya barua pepe.

Hii inaweza kutokea.

Kwa nini unadhani ameacha kuniandikia?

Nitajuaje sababu yake ya kuacha kukuandikia?

Nina hakika msichana huyu ndiye sababu.

Kunaweza kuwa na sababu zingine za kutokukuandikia.

Kama nini kwa mfano?

Huenda ndugu yako amekasirishwa na wewe, kwa sababu fulani.

Hiyo siyo sababu.

Angalau, sio sababu nzuri.

Kunaweza kuwa na sababu nyingi za kutokukuandikia.

Kwa nini unasema kuwa kuna sababu nyingi?

Mimi ninajaribu tu kukusaidia.

Huna haja ya kuwa na wasiwasi juu yake.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE