×

我們使用cookies幫助改善LingQ。通過流覽本網站,表示你同意我們的 cookie 政策.

Who is She?, 4- Anafanya Nini? — 閱讀文本

Who is She?, 4- Anafanya Nini?

初級1 斯瓦希里語 課程,練習閱讀

立即開始學習本課

Mbona nikueleze?

Sidhani ni sawa.

Sawa.

Msichana anakaa vipi?

Kwa nini unauliza maswali haya yote?

Msichana anakaa vipi?

Mrefu au mfupi?

Ngozi yake ni nyeupe au nyeusi?

Unataka kweli nikueleze kuhusu yeye.

Nimekueleza yote ninayotaka kusema.

Naam, tafadhali jaribu kunieleza kidogo zaidi kuhusu yeye.

Naam, yeye ni mfupi kuliko wewe lakini ni mrefu kuliko Anna.

Pia ana ngozi nyeusi zaidi kuliko mimi.

Anafanya nini?

Anafanya kazi wapi?

Anafanya kazi upande wa chini wa jiji.

Nadhani anafanya kazi katika duka la idara.

Jina lake ni nani?

Siwezi kukueleza jina lake.

Hunisaidii sana.

Ninahitaji msaada wako.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE