×

我們使用cookies幫助改善LingQ。通過流覽本網站,表示你同意我們的 cookie 政策.

Who is She?, 2- Namtafuta Ndugu Yangu — 閱讀文本

Who is She?, 2- Namtafuta Ndugu Yangu

初級1 斯瓦希里語 課程,練習閱讀

立即開始學習本課

Tunamtafuta mtu fulani.

Unamtafuta nani?

Namtafuta ndugu yangu.

Je, anaishi hapa?

Ndiyo, nadhani ndugu yangu anaishi katika jengo hili.

Ndugu yako ni nani?

Niambie jina lake.

Jina la ndugu yangu ni Ibrahim.

Nani mkubwa, wewe au ndugu yako?

Ndugu yangu ni mkubwa kuliko mimi.

Mimi ni mdogo wake.

Yeye ni mtoto wa kwanza katika familia.

Kati yenu ni nani mrefu zaidi, wewe au ndugu yako?

Ndugu yangu ni mrefu zaidi.

Mimi ndiye mfupi kabisa katika familia.

Kwa nini unauliza?

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE