×

我們使用cookies幫助改善LingQ。通過流覽本網站,表示你同意我們的 cookie 政策.


image

Who is She?, 19- Kila Kitu Ni Shwari

Sawa, nitafanya kile unachotaka.

Hakifai lakini nitafanya.

Naam, nimepata wazo.

Kuna mtu yeyote nyumbani sasa?

La, wote wawili wako nje.

Wazo lako ni lipi?

Watarudi lini?

Atarudi leo usiku sana.

Anacheza gofu pamoja na marafiki zake.

Na msichana naye?

Anapaswa kurudi kutoka kazini baada ya saa moja hivi.

Kwa hiyo tuna saa moja kabla ya msichana kurudi.

Unamaanisha nini?

Sipendi kile ninachosikia.

Usijali, Hebu nishughulike na hilo.

Kila kitu ni shwari.

Najua unachowaza na sikipendi kabisa.

Subiri kidogo.

Sawa, nitafanya kile unachotaka. OK, I will do what you want.

Hakifai lakini nitafanya. I really shouldn't but I will.

Naam, nimepata wazo. Hey, I just thought of something.

Kuna mtu yeyote nyumbani sasa? Is anyone home right now?

La, wote wawili wako nje. No, they are both out.

Wazo lako ni lipi? What do you mean by that?

Watarudi lini? When will they be back?

Atarudi leo usiku sana. He will be back late tonight.

Anacheza gofu pamoja na marafiki zake. He is playing golf with his friends.

Na msichana naye? What about her?

Anapaswa kurudi kutoka kazini baada ya saa moja hivi. She should be back from work in an hour.

Kwa hiyo tuna saa moja kabla ya msichana kurudi. We have one hour before the girl comes back.

Unamaanisha nini? What do you mean?

Sipendi kile ninachosikia. I don't like what I am hearing.

Usijali, Hebu nishughulike na hilo. Don't worry, Just leave it to me.

Kila kitu ni shwari. Everything will be all right.

Najua unachowaza na sikipendi kabisa. I know what you are thinking and I don't like it one bit.

Subiri kidogo. Just wait a minute.