×

我們使用cookies幫助改善LingQ。通過流覽本網站,表示你同意我們的 cookie 政策.

Who is She?, 19- Kila Kitu Ni Shwari — 閱讀文本

Who is She?, 19- Kila Kitu Ni Shwari

初級1 斯瓦希里語 課程,練習閱讀

立即開始學習本課

Sawa, nitafanya kile unachotaka.

Hakifai lakini nitafanya.

Naam, nimepata wazo.

Kuna mtu yeyote nyumbani sasa?

La, wote wawili wako nje.

Wazo lako ni lipi?

Watarudi lini?

Atarudi leo usiku sana.

Anacheza gofu pamoja na marafiki zake.

Na msichana naye?

Anapaswa kurudi kutoka kazini baada ya saa moja hivi.

Kwa hiyo tuna saa moja kabla ya msichana kurudi.

Unamaanisha nini?

Sipendi kile ninachosikia.

Usijali, Hebu nishughulike na hilo.

Kila kitu ni shwari.

Najua unachowaza na sikipendi kabisa.

Subiri kidogo.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE