×

我們使用cookies幫助改善LingQ。通過流覽本網站,表示你同意我們的 cookie 政策.

Who is She?, 18- Lazima Iwe Ni Utani — 閱讀文本

Who is She?, 18- Lazima Iwe Ni Utani

初級1 斯瓦希里語 課程,練習閱讀

立即開始學習本課

Nataka mpenzi wa kaka yangu arudi nyumbani na kumkuta Anna kwenye kitanda chake.

Una uhakika?

Lazima iwe ni utani!

Hapana, nina uhakika.

Nataka kumuaibisha ndugu yangu.

Kumpata Anna kitandani mwake kutamtia aibu.

Hakuna shaka kuhusu hilo

Hilo litakuwa gumu sana kwa ndugu yangu kuelezea.

Nakubali, Hilo litakuwa gumu kueleza.

Nisingetaka kueleza hilo.

Hata kama anampenda, hilo litakuwa gumu sana kuelezea.

Natumaini ataamua kumwacha ili niweze kupata fedha zaidi.

Hilo, naelewa.

Wewe si dada mzuri.

Usijali kuhusu hilo.

Fanya tu kile nakueleza, na utapata pesa.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE