×

我們使用cookies幫助改善LingQ。通過流覽本網站,表示你同意我們的 cookie 政策.

Who is She?, 16- Haijalishi — 閱讀文本

Who is She?, 16- Haijalishi

初級1 斯瓦希里語 課程,練習閱讀

立即開始學習本課

Wewe ni wakili?

Ndiyo, mimi ni wakili.

Nataka kutafuta njia ya kufanya ndugu yangu kuachana na msichana huyu, kabla ya kupokea pesa.

Hili si jambo zuri sana kutoka kwako.

Mbona unajali sana kuhusu kile kinachomtendekea ndugu yako?

Kwa njia hiyo, mimi mwenyewe nitapata fedha zaidi.

Sasa naona.

Nashukuru sina dada kama wewe.

Naweza kukupa dola elfu moja ikiwa utanisaidia.

Na ndugu yako akigundua kuwa ninakusaidia?

Usiwe na wasiwasi kuhusu hilo.

Bado utabaki na pesa nitakazokupa.

Na ikiwa ndugu yako anampenda msichana?

Haijalishi, Tutangoja ili kushuhudia kitakachotendeka.

Hii inaonekana kama shida kwangu.

Naweza kukupa pesa nyingi.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE