×

我們使用cookies幫助改善LingQ。通過流覽本網站,表示你同意我們的 cookie 政策.

Who is She?, 15- Sitakusaidia — 閱讀文本

Who is She?, 15- Sitakusaidia

初級1 斯瓦希里語 課程,練習閱讀

立即開始學習本課

Unataka pesa kiasi gani?

Nitakueleza mara ngapi?

Sitakusaidia.

Sawa, basi nitakueleza ukweli.

Hatimaye, ukweli!

Ndugu yangu amerithi pesa nyingi kutoka kwa jamaa aliyefariki.

Hilo linanihusu kivipi?

Nataka kuhakikisha kuwa hajaoa, au kuishi katika uhusiano na msichana huyu.

Kwa nini jambo hilo lina umuhimu kwako?

Sitaki msichana apate pesa yoyote.

Kwa hivyo nahitaji msaada wako.

Ingawa wanaishi pamoja, sidhani kwamba hili linampa haki ya kupokea baadhi ya fedha.

Unajua nini kuhusu mambo hayo?

Hakika wewe si wakili.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE