×

我們使用cookies幫助改善LingQ。通過流覽本網站,表示你同意我們的 cookie 政策.

Who is She?, 13- Nimewaza Tena — 閱讀文本

Who is She?, 13- Nimewaza Tena

初級1 斯瓦希里語 課程,練習閱讀

立即開始學習本課

Lakini ni lazima unipe dola mia tano sasa hivi.

Ni itakuwaje nikikupa hundi ya dola mia tano?

Utakubali hio?

Sawa, Niandikie hundi na nitafanya kile utakachosema.

Ni benki ipi inashughulikia hundi hio?

Benki ya Kwanza ya Taifa.

Sijawahi kusikia kuhusu benki hiyo.

Ni benki maarufu katika nchi yangu.

Unajua, nimewaza tena.

Kwa wazo la pili, sitaki kufanya unachotaka.

Lakini umesema utafanya, muda mfupi uliopita.

Unaniomba nifanye kitu ambacho hakina uaminifu.

Lakini ulikubali mwanzoni.

Hata ingawa nilisema ningefanya, sasa nimebadilisha mawazo yangu.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE