Habari, Nikusaidie vipi?
Mimi ni Naomi.
Hujambo?
Nafurahi kukutana nawe.
Nafurahi pia kukutana nawe.
Rafiki yako anaitwaje?
Jina la rafiki yangu ni Anna.
Habari Naomi, Habari Anna, Vizuri kukutana nanyi.
Habari, Nikusaidie vipi?
Mimi ni Naomi.
Hujambo?
Nafurahi kukutana nawe.
Nafurahi pia kukutana nawe.
Rafiki yako anaitwaje?
Jina la rafiki yangu ni Anna.
Habari Naomi, Habari Anna, Vizuri kukutana nanyi.
要聽此文本的音訊,並學習詞彙,註冊免費的LingQ帳戶。