×

我們使用cookies幫助改善LingQ。通過流覽本網站,表示你同意我們的 cookie 政策.

LingQ 101 - Getting Started, Kuongea — 閱讀文本

LingQ 101 - Getting Started, Kuongea

初級1 斯瓦希里語 課程,練習閱讀

立即開始學習本課

Pale utakapokuwa tayari unaweza kuongea na mzawa.

Unaweza kuongea na mwalimu.

Utafurahia.

Unaweza kuongea na mwalimu kupitia Skype.

Unaweza kuchagua mwalimu unayetaka kuongea nae.

Unaweza kuwa na waalimu wengi.

Unaweza kuongea nao muda wowote utakaoutaka.

Baada ya kuongea na mwalimu utapokea ripoti ya maongezi.

Ripoti hiyo ya maongezi itaonyesha makosa yako.

Unaweza kuunda LingQs kutoka kwenye makosa yako ya kimaongezi.

Kwa mara ya kwanza ni ngumu kuongea na mzawa wa lugha.

Ila muda sio mrefu utaanza kuongea vizuri zaidi na zaidi.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE