×

我們使用cookies幫助改善LingQ。通過流覽本網站,表示你同意我們的 cookie 政策.

LingQ 101 - Getting Started, Kuandika — 閱讀文本

LingQ 101 - Getting Started, Kuandika

初級1 斯瓦希里語 課程,練習閱讀

立即開始學習本課

Ukiwa tayari, unatakiwa uandike.

Unaweza kujiandikia mwenyewe tu.

Hii itakusaidia kukumbuka maneno mapya.

Kuandika kunakusaidia kufikiria kwa lugha mpya.

Unaweza kumuomba mwalimu akusahihishe uandishi wako.

Ikiwa mwalimu atasahihisha uandishi wako, utapokea ripoti.

Ripoti itaonyesha makosa yako.

Unaweza kutunza maneno na sentensi kutoka kwenye ripoti yako ya uandishi.

Unaweza kutengeneza LingQ kutoka kwenye ripoti yako ya uandishi.

Hii itakusaidia kujifunza kutokana na makosa yako.

Itakubidi kuisoma ripoti yako ya uandishi.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE