×

我们使用cookies帮助改善LingQ。通过浏览本网站,表示你同意我们的 cookie 政策.


image

African Story Book Project, 02 Kuhesabu wanyama

02 Kuhesabu wanyama

Tembo mmoja anakwenda kunywa maji.

Twiga wawili wanaenda kunywa maji.

Nyati watatu na ndege wanne nao wanaenda kunywa maji.

Swala watano na ngiri sita wanatembea kuelekea kwenye maji.

Punda milia saba wanakimbia kuelekea kwenye maji.

Vyura wanane na samaki tisa wanaogelea kwenye maji.

Simba mmoja anaunguruma. Naye anataka kunywa maji. Nani anamwogopa simba?

Tembo mmoja anakunywa maji na simba.

02 Kuhesabu wanyama 02 Tiere zählen 02 Counting animals 02 Contar animales 02 Compter les animaux 02 動物を数える 02 동물 세기 02 Dieren tellen 02 Liczenie zwierząt 02 Contando animais 02 Считать животных 02 数动物

Tembo mmoja anakwenda kunywa maji. One elephant goes to drink water.

Twiga wawili wanaenda kunywa maji. Two giraffes go to drink water.

Nyati watatu na ndege wanne nao wanaenda kunywa maji. Three buffaloes and four birds also go to drink water.

Swala watano na ngiri sita wanatembea kuelekea kwenye maji. Five antelopes and six wild boars are walking towards the water.

Punda milia saba wanakimbia kuelekea kwenye maji. Seven striped donkeys are running towards the water.

Vyura wanane na samaki tisa wanaogelea kwenye maji. Eight frogs and nine fish swim in the water.

Simba mmoja anaunguruma. A lion roars. Naye anataka kunywa maji. And he wants to drink water. Nani anamwogopa simba? Who is afraid of the lion?

Tembo mmoja anakunywa maji na simba. An elephant is drinking water with a lion.