×

我们使用cookies帮助改善LingQ。通过浏览本网站,表示你同意我们的 cookie 政策.


image

African Story Book Project, 01 Ninapenda kusoma!

01 Ninapenda kusoma!

Ninapenda kusoma.

Nimsomee nani?

Mdogo wangu amelala.

Nimsomee nani?

Mama na bibi wana kazi.

Nimsomee nani?

Baba na babu wana kazi.

Nimsomee nani? Nijisomee mwenyewe!

01 Ninapenda kusoma! 01 Ich liebe es zu lesen! 01 I love reading! 01 ¡Me encanta leer! 01 من عاشق خواندن هستم! 01 J'adore lire ! 01 나는 독서를 좋아해요! 01 Ik hou van lezen! 01 Kocham czytać! 01 Eu amo ler! 01 Я люблю читать! 01 我喜欢读书!

Ninapenda kusoma. I like to read.

Nimsomee nani? Who should I read to? À qui dois-je lire ?

Mdogo wangu amelala. Meine Kleine schläft. My little one is sleeping.

Nimsomee nani? Who should I read to?

Mama na bibi wana kazi. Mutter und Großmutter haben Arbeit. Mother and grandmother have work.

Nimsomee nani? Who should I read to?

Baba na babu wana kazi. Vater und Großvater haben Jobs. Father and grandfather have jobs.

Nimsomee nani? Who should I read to? Nijisomee mwenyewe! Lesen Sie es selbst! Read it for yourself!