×

我们使用 cookie 帮助改善 LingQ。通过浏览本网站,表示你同意我们的 cookie 政策.

Who is She?, 26- Hiyo Ni Siri Ndogo Yangu – 阅读文本

Who is She?, 26- Hiyo Ni Siri Ndogo Yangu

初级1 斯瓦希里语 课程,练习阅读

现在开始学习这个课程

Je, kuna sababu nyingine unataka Ibrahim kuondoka?

Ndiyo, nina mpenzi mpya na hapendi nikiishi na Ibrahim.

Vizuri.

Mpenzi wako mpya anasema ukweli.

Kwa nini hilo ni nzuri?

Mbona inakujalisha?

Usijali, Hiyo ni siri ndogo yangu.

Hata hivyo, asante kwa kuturuhusu tukutembelee, na shukrani kwa msaada wako.

Sijui nini cha kusema.

Una ujasiri mwingi.

Lakini nafurahi wakati wote kuwaeleza watu kuhusu LingQ.

Hapana, hukunisaidia hivyo.

Umenisaidia kwa sababu tofauti, ambayo inahusiana na Ibrahim.

Usijali.

Lakini Naomi, unapaswa kujifunza lugha.

Utafanya vizuri sana.

Unajitakia makuu na hauaibiki kwa urahisi.

Kwa kweli, siku zote nimetamani kusafiri na kukutana na watu kutoka nchi zingine.

Labda unasema ukweli.

Katika LingQ, wanaamini kila mtu anaweza kujifunza kuzungumza lugha kadhaa.

Wanaamini kwamba haifai kuwa ngumu.

Watu wanahitaji tu kuacha kujifunza jinsi walivyofanya shuleni, na kuanza kujifunza kwa njia ya asili zaidi.

Asalale, kweli una shauku nyingi kuhusu LingQ.

Unapaswa kujaribu na utagundua sababu.

Utaanza kufurahia lugha.

Ikiwa unapenda kujifunza, utafanya vizuri sana.

Hutakaidi lugha.

Utagundua kwamba kujifunza lugha ni safari ya kusisimua na yenye thawabu.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE