×

我们使用 cookie 帮助改善 LingQ。通过浏览本网站,表示你同意我们的 cookie 政策.

Who is She?, 10- Nilikuwa Na Shughuli – 阅读文本

Who is She?, 10- Nilikuwa Na Shughuli

初级1 斯瓦希里语 课程,练习阅读

现在开始学习这个课程

Hivyo unamaanisha kuwa wameishi pamoja kwa nusu mwaka?

Basi wao ni wapenzi.

Sijui, Ndugu yako aliacha lini kukuandikia?

Ni wiki chache tu tangu alipoacha kuniandikia.

Unaona?

Huyu msichana sio sababu yeye aliacha kukuandikia barua pepe.

Hiyo ni kweli nadhani.

Aliniandikia mara kwa mara hadi wiki chache zilizopita.

Kwa nini aliacha basi?

Hebu tujaribu kuchunguza kilichotokea.

Alikutumia barua pepe kwa mara ngapi?

Hilo ni ngumu kusema.

Aliandika mara nyingi sana.

Je, Wewe ulijibu kila wakati?

Wakati wote nilijaribu kumjibu kwa haraka iwezekanavyo.

Lakini ni mara ngapi hukumjibu?

Ilitegemea na kiasi cha kazi niliyokuwa nayo.

Uliandika kwa barua pepe kila wakati?

Ndio, tuliendelea kuwasiliana kwa barua pepe.

Sikuhitaji kujua ambapo aliishi.

Ulipokea barua pepe ngapi kutoka kwake kila mwezi?

Nilipata barua nyingi kila mwezi.

Nilifurahi kila wakati nilipata barua pepe zake.

Mbona hukujaribu kumtembelea mbeleni?

Nilikuwa na shughuli.

Na zaidi ya hayo, nilidhani bado alikuwa shuleni.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE