×

我们使用cookies帮助改善LingQ。通过浏览本网站,表示你同意我们的 cookie 政策.


image

Who is She?, 1- Nafurahi Kukutana Nawe

Habari, Nikusaidie vipi?

Mimi ni Naomi.

Hujambo?

Nafurahi kukutana nawe.

Nafurahi pia kukutana nawe.

Rafiki yako anaitwaje?

Jina la rafiki yangu ni Anna.

Habari Naomi, Habari Anna, Vizuri kukutana nanyi.

Habari, Nikusaidie vipi? Hello, What can I do for you?

Mimi ni Naomi. My name is Jane.

Hujambo? How do you do?

Nafurahi kukutana nawe. Glad to meet you.

Nafurahi pia kukutana nawe. Glad to meet you too.

Rafiki yako anaitwaje? What is your friend's name?

Jina la rafiki yangu ni Anna. My friend's name is Sally.

Habari Naomi, Habari Anna, Vizuri kukutana nanyi. Hello Jane, Hello Sally, Nice to meet both of you.