×

我们使用 cookie 帮助改善 LingQ。通过浏览本网站,表示你同意我们的 cookie 政策.

LingQ Mini Stories, 5- Ana Kazi Nyingi za Nyumbani – 阅读文本

LingQ Mini Stories, 5- Ana Kazi Nyingi za Nyumbani

初级1 斯瓦希里语 课程,练习阅读

现在开始学习这个课程

Musa yupo sekondari.

Ana kazi nyingi za nyumbani

Rachel ni mwanafunzi wa chuo kikuu.

Ana kazi nyingi za nyumbani pia.

Musa hapendi kazi za nyumbani.

Huwa anapenda kucheza kwenye kompyuta.

Rachel huwa anapenda kusoma na kuandika.

Huwa anafanya kazi zake za nyumbani kila siku.

Rachel ni dada yake kubwa Musa.

Huwa mara zote anamfanya afanye kazi zake za nyumbani.

Hii ni hadithi hiyo, ikisimuliwa na Musa.

Nipo sekondari.

Nina kazi nyingi za nyumbani.

Rachel ni mwanafunzi wa chuo kikuu.

Ana kazi nyingi za nyumbani pia.

Mimi sipendi kazi za nyumbani.

Ninapenda kucheza kwenye kompyuta yangu.

Rachel huwa anapenda kusoma na kuandika.

Huwa anafanya kazi zake za nyumbani kila siku.

Rachel ni dada yangu mkubwa.

Mara zote huwa ananifanya nifanye kazi zangu za nyumbani.

Maswali:

1) Musa ni mwanafunzi wa sekondari. Je, Musa ni mwanafunzi wa sekondari? Ndiyo, Musa ni mwanafunzi wa sekondari.

2) Musa ana kazi nyingi za nyumbani. Je, Musa huwa ana kazi nyingi za nyumbani? Ndiyo, Musa ana kazi nyingi za nyumbani.

3) Rachel ni mwanafunzi wa chuo kikuu. Je, Rachel ni mwanafunzi wa sekondari? Hapana, Rachel sio mwanafunzi wa sekondari. Ni mwanafunzi wa chuo kikuu.

4) Musa anapenda kucheza kwenye kompyuta yake. Je, Musa anapenda kucheza kwenye kompyuta yake? Ndiyo, Musa anapenda kucheza kwenye kompyuta yake.

5) Rachel huwa anapenda kusoma na kuandika. Je, Rachel huwa anapenda kuangalia filamu? Hapana, Rachel huwa anapenda kusoma na kuandika.

6) Rachel huwa anafanya kazi zake za nyumbani kila siku. Je, Rachel huwa anafanya kazi zake za nyumbani kila siku? Ndiyo, Rachel huwa anafanya kazi zake za nyumbani kila siku.

7) Rachel ni dada yake mkubwa Musa. Je, Musa na Rachel ni ndugu? Ndiyo, Musa na Rachel ni ndugu. Rachel ni dada yake mkubwa Musa.

8) Rachel huwa anamfanya Musa afanye kazi zake za nyumbani kila siku. Je, Rachel huwa anamfanya Musa afanye kazi zake za nyumbani? Ndiyo, Rachel huwa anamfanya Musa afanye kazi zake za nyumbani kila siku.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE