×

我们使用cookies帮助改善LingQ。通过浏览本网站,表示你同意我们的 cookie 政策.


image

LingQ Mini Stories, 14- Huwa Ninapenda Kusikiliza Muziki

Aisha huwa anapenda kusikiliza muziki.

Anataka kujifunza namna ya kucheza.

Anaenda katika darasa lake la kwanza la kucheza.

Mwalimu anamwambia anyooshe miguu yake.

Aisha anajaribu kunyoosha miguu yake.

Lakini hawezi kunyoosha mbali sana.

Mwalimu anamwambia aruke.

Aisha anajaribu kuruka, lakini anadondoka chini.

Misuli ya Aisha ina maumivu baada ya darasa.

Labda hawezi kujifunza namna ya kucheza.

Hii ni hadithi hiyo ikisimuliwa na Aisha.

Huwa ninapenda kusikiliza muziki.

Ninataka kujifunza namna ya kucheza.

Ninaenda katika darasa langu la kwanza la kucheza.

Mwalimu ananiambia ninyooshe miguu yangu.

Ninajaribu kunyoosha miguu yangu.

Lakini siwezi kunyoosha mbali sana.

Mwalimu ananiambia niruke.

Ninajaribu kuruka, lakini ninadondoka chini.

Misuli yangu ina maumivu baada ya darasa.

Labda siwezi kujifunza namna ya kucheza.

Maswali.

1) Aisha huwa anapenda kusikiliza muziki. Je, Aisha anapenda muziki? Ndiyo, Aisha huwa anapenda kusikiliza muziki.

2) Aisha anataka kujifunza namna ya kucheza. Je, Aisha anataka kujifunza namna ya kucheza? Ndiyo, Aisha anataka kujifunza namna ya kucheza.

3) Aisha anaenda kwenye darasa la kucheza. Je, Aisha anaenda kwenye darasa la kinanda? Hapana, Aisha hajaenda kwenye darasa la kinanda. Anaenda kwenye darasa la kucheza.

4) Mwalimu anamwambia Aisha anyooshe miguu yake. Je, mwalimu anamwambia Aisha anyooshe mikono yake? Hapana, mwalimu hamwambii anyooshe mikono yake. Mwalimu anamwambia kunyoosha miguu yake.

5) Aisha hawezi kunyoosha miguu yake mbali sana. Je, Aisha anaweza kunyoosha miguu yake mbali? Hapana, Aisha hawezi kunyoosha miguu yake mbali sana.

6) Aisha anajaribu kuruka, lakini anadondoka chini. Je, Aisha anadondoka chini? Ndiyo, Aisha anajaribu kuruka, lakini anadondoka chini.

7) Misuli ya Aisha ina maumivu baada ya darasa. Je, misuli ya Aisha ina maumivu baada ya darasa? Ndiyo, misuli ya Aisha ina maumivu baada ya darasa.

8) Labda Aisha hawezi kujifunza kucheza. Je, Aisha anaweza kujifunza kucheza? Labda Aisha hawezi kujifunza kucheza.

Aisha huwa anapenda kusikiliza muziki. Aisha hört gerne Musik. Kelly likes to listen to music. Aisha aime écouter de la musique.

Anataka kujifunza namna ya kucheza. Er möchte spielen lernen. She wants to learn how to dance. Il veut apprendre à jouer.

Anaenda katika darasa lake la kwanza la kucheza. Sie geht zu ihrem ersten Tanzkurs. She goes to her first dance class. Elle va à son premier cours de danse.

Mwalimu anamwambia anyooshe miguu yake. Der Lehrer sagt ihm, er solle seine Beine strecken. The teacher tells her to stretch her legs. Le professeur lui dit de redresser ses jambes.

Aisha anajaribu kunyoosha miguu yake. Kelly tries to stretch her legs. Aisha essaie de se dégourdir les jambes.

Lakini hawezi kunyoosha mbali sana. But she can't stretch very far. Mais il ne peut pas aller trop loin.

Mwalimu anamwambia aruke. The teacher tells her to jump. Le professeur lui dit de sauter.

Aisha anajaribu kuruka, lakini anadondoka chini. Kelly tries to jump, but falls down. Aisha essaie de sauter, mais tombe au sol.

Misuli ya Aisha ina maumivu baada ya darasa. Aishas Muskeln schmerzen nach dem Unterricht. Kelly's muscles are sore after class. Les muscles d'Aisha sont douloureux après les cours.

Labda hawezi kujifunza namna ya kucheza. Maybe she can't learn how to dance. Peut-être qu'il ne peut pas apprendre à jouer.

Hii ni hadithi hiyo ikisimuliwa na Aisha. Here is the same story told in a different way.

Huwa ninapenda kusikiliza muziki. I like to listen to music.

Ninataka kujifunza namna ya kucheza. Ich möchte lernen, wie man spielt. I want to learn how to dance.

Ninaenda katika darasa langu la kwanza la kucheza. I go to my first dance class.

Mwalimu ananiambia ninyooshe miguu yangu. Der Lehrer sagt mir, ich solle meine Beine strecken. The teacher tells me to stretch my legs.

Ninajaribu kunyoosha miguu yangu. I try to stretch my legs.

Lakini siwezi kunyoosha mbali sana. But I can't stretch very far.

Mwalimu ananiambia niruke. Der Lehrer sagt mir, ich soll springen. The teacher tells me to jump. Le professeur me dit de sauter.

Ninajaribu kuruka, lakini ninadondoka chini. I try to jump, but fall down.

Misuli yangu ina maumivu baada ya darasa. My muscles are sore after class.

Labda siwezi kujifunza namna ya kucheza. Maybe I can't learn how to dance.

Maswali. Questions:

1) Aisha huwa anapenda kusikiliza muziki. One: Kelly likes to listen to music. Je, Aisha anapenda muziki? Does Kelly like music? Ndiyo, Aisha huwa anapenda kusikiliza muziki. Yes, Kelly likes to listen to music.

2) Aisha anataka kujifunza namna ya kucheza. Two: Kelly wants to learn how to dance. Je, Aisha anataka kujifunza namna ya kucheza? Does Kelly want to learn how to dance? Ndiyo, Aisha anataka kujifunza namna ya kucheza. Yes, Kelly wants to learn how to dance.

3) Aisha anaenda kwenye darasa la kucheza. Three: Kelly goes to a dance class. 3) Aisha va à un cours de danse. Je, Aisha anaenda kwenye darasa la kinanda? Does Kelly go to a piano class? Aisha va-t-elle à des cours de piano ? Hapana, Aisha hajaenda kwenye darasa la kinanda. No, Kelly does not go to a piano class. Non, Aisha n'est pas allée au cours de piano. Anaenda kwenye darasa la kucheza. She goes to a dance class.

4) Mwalimu anamwambia Aisha anyooshe miguu yake. Four: The teacher tells Kelly to stretch her legs. 4) Le professeur dit à Aïcha de redresser ses jambes. Je, mwalimu anamwambia Aisha anyooshe mikono yake? Does the teacher tell Kelly to stretch her arms? Le professeur dit-il à Aïcha de se dégourdir les bras ? Hapana, mwalimu hamwambii anyooshe mikono yake. No, the teacher does not tell her to stretch her arms. Non, le professeur ne lui dit pas de lever les mains. Mwalimu anamwambia kunyoosha miguu yake. The teacher tells her to stretch her legs. Le professeur lui dit de redresser ses jambes.

5) Aisha hawezi kunyoosha miguu yake mbali sana. Five: Kelly can't stretch her legs very far. 5) Aisha ne peut pas étendre ses jambes très loin. Je, Aisha anaweza kunyoosha miguu yake mbali? Can Kelly stretch her legs far? Hapana, Aisha hawezi kunyoosha miguu yake mbali sana. No, Kelly can't stretch her legs very far.

6) Aisha anajaribu kuruka, lakini anadondoka chini. Six: Kelly tries to jump, but she falls down. Je, Aisha anadondoka chini? Does Kelly fall down? Ndiyo, Aisha anajaribu kuruka, lakini anadondoka chini. Yes, Kelly tries to jump, but she falls down.

7) Misuli ya Aisha ina maumivu baada ya darasa. Seven: Kelly's muscles are sore after class. Je, misuli ya Aisha ina maumivu baada ya darasa? Are Kelly's muscles sore after class? Ndiyo, misuli ya Aisha ina maumivu baada ya darasa. Yes, Kelly's muscles are sore after class.

8) Labda Aisha hawezi kujifunza kucheza. Eight: Maybe Kelly can't learn how to dance. Je, Aisha anaweza kujifunza kucheza? Can Kelly learn how to dance? Labda Aisha hawezi kujifunza kucheza. Maybe Kelly can't learn how to dance.