×

我们使用 cookie 帮助改善 LingQ。通过浏览本网站,表示你同意我们的 cookie 政策.

LingQ 101 - Getting Started, Kusikiliza na kusoma – 阅读文本

LingQ 101 - Getting Started, Kusikiliza na kusoma

初级1 斯瓦希里语 课程,练习阅读

现在开始学习这个课程

Unahitajika kusikiliza sana.

Unahitajika kusoma sana.

Unaweza kusikiliza ukiwa kwenye daladala.

Unaweza kusikiliza ukiwa unatembea.

Unaweza kusoma kidogo mida ya asubuhi.

Unaweza kusoma kidogo mida ya usiku.

Unaweza usielewe kila kitu.

Usijali kuhusu hilo.

Muda sio mrefu utaelewa zaidi na zaidi.

Kama ukielewa, utajifunza hata kuongea.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE