×

我们使用 cookie 帮助改善 LingQ。通过浏览本网站,表示你同意我们的 cookie 政策.

LingQ 101 - Getting Started, Kufundisha – Text to read

LingQ 101 - Getting Started, Kufundisha

初级1 斯瓦希里语 lesson to practice reading

现在开始学习这个课程

Unaweza kufundisha katika lugha yako mama.

Unaweza kuwasaidia watu wengine kujifunza lugha yako.

Unaweza kusahihisha uandishi wa watu wengine.

Unaweza kuongea na watu wengine waliojiunga LingQ ambao wanajifunza lugha yako.

Kufundisha sio kazi ngumu.

Uliza marafiki zako, au uliza katika jukwaa, ili kujua namna ya kuwa mwalimu.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE