×

Ми використовуємо файли cookie, щоб зробити LingQ кращим. Відвідавши сайт, Ви погоджуєтесь з нашими правилами обробки файлів «cookie».

LingQ 101 - Getting Started, Jifunze kutoka kwenye mada zin… – Текст для читання

LingQ 101 - Getting Started, Jifunze kutoka kwenye mada zinazokuvutia

Початківець 1 Суахілі урок для практики читання

Почати вивчати цей урок зараз

Chagua somo ambalo linakuvutia.

Hili ni jambo la muhimu.

Chagua somo ambalo sio gumu sana kwako.

Utajifunza mengi zaidi ikiwa somo ni lile linalokuvutia.

Utajifunza mengi zaidi ikiwa somo sio gumu sana.

Kama ni somo linalokuvutia, utajitahidi zaidi kuelewa.

Masomo yanaweza kuwa magumu kuyaelewa.

Usijali kuhusu hilo.

Muda sio mrefu masomo yatakuwa mepesi.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE