×

LingQ'yu daha iyi hale getirmek için çerezleri kullanıyoruz. Siteyi ziyaret ederek, bunu kabul edersiniz: çerez politikası.


image

Who is She?, 14- Nina Shughuli

Shida ni nini?

Unaweza kutengeneza pesa bila kufanya mengi.

Sitaki tu kufanya hivyo.

Sidhani ni sawa.

Kwa nini?

Kwa sababu si aminifu, au kwa sababu huamini benki?

Usijali.

Ni lipi?

Acha kujifanya mwaaminifu.

Hebu tuseme kwamba siamini benki.

Lakini pia mimi ni mtu mwaminifu.

Kumbuka, ulikuwa tayari kunisaidia kwa dola mia tano za kifedha.

Hakuna njia yoyote ile nitakusaidia.

Unaweza pia kukata tamaa na kuondoka.

Nina shughuli.

Dakika chache tu!

Ngoja nikueleze kitu ambacho kitabadili mawazo yako.

Nina shaka kuwa chochote utakachosema kina umuhimu.

Chochote utakachosema hakitabadili mawazo yangu.

Na kama nitakupa pesa zaidi?

Fedha hazitafanya nibadilishe mawazo yangu.

Labda haionekani kuwa hivyo, lakini mimi ni mtu mwaminifu.

Shida ni nini? What is your problem?

Unaweza kutengeneza pesa bila kufanya mengi. You can make money without doing very much.

Sitaki tu kufanya hivyo. I just do not want to do it.

Sidhani ni sawa. I do not feel it is right.

Kwa nini? Why?

Kwa sababu si aminifu, au kwa sababu huamini benki? Because it is dishonest, or because you do not trust the bank?

Usijali. Never mind.

Ni lipi? Which is it?

Acha kujifanya mwaaminifu. Stop pretending that you are so honest.

Hebu tuseme kwamba siamini benki. Let's say I do not trust the bank.

Lakini pia mimi ni mtu mwaminifu. But I am also an honest person.

Kumbuka, ulikuwa tayari kunisaidia kwa dola mia tano za kifedha. I mean, you were ready to help me for five hundred dollars cash, after all.

Hakuna njia yoyote ile nitakusaidia. There is no way I am going to help you.

Unaweza pia kukata tamaa na kuondoka. You might as well give up and leave.

Nina shughuli. I am busy.

Dakika chache tu! Just a minute here!

Ngoja nikueleze kitu ambacho kitabadili mawazo yako. Let me tell you something which will make you change your mind.

Nina shaka kuwa chochote utakachosema kina umuhimu. I doubt that anything you say will make a difference.

Chochote utakachosema hakitabadili mawazo yangu. Whatever you say will not make me change my mind.

Na kama nitakupa pesa zaidi? How about if I give you more money?

Fedha hazitafanya nibadilishe mawazo yangu. Money will not make me change my mind.

Labda haionekani kuwa hivyo, lakini mimi ni mtu mwaminifu. It might not look like it but I am an honest person.