×

Vi använder kakor för att göra LingQ bättre. Genom att besöka sajten, godkänner du vår cookie policy.


image

Asili ya Afrika, Eduardo Mondlane: Kiongozi aliyeiunganisha Msumbiji - YouTube

Eduardo Mondlane: Kiongozi aliyeiunganisha Msumbiji - YouTube

Kutana na Eduardo Mondlane. Alizaliwa katika familia ya Tsonga, Kusini wa Msumbiji. Mama yake alimwambia, nenda shule mwanangu ili uweze kupambana na mzungu. Alikubaliwa katika Chuo Kikuu cha Afrika Kusini cha Wits lakini serikali ya ubaguzi wa rangi nchini humo ilimlazimisha aondoke mnamo mwaka wa elfu moja tisa mia arobaini na tisa, (1949).

Maisha yake yalikuwa mazuri zaidi nchini Marekani. Alihitimu katika masomo ya sosholojia. Mondlane alijithibitisha kama msemaji mzuri aliyezungumza kwa ufasaha. Wadhifa katika baraza la uaminifu la Umoja wa Mataifa ililimpa fursa ya kwenda mbele na masomo. Wakati huo huo ukandamizaji wa kikoloni unaongezeka Msumbiji.

Mwaka elfu moja tisa mia sitini na mbili (1962). Mondlane anapokelewa Dar es Salaam Tanzania kwa mikono miwili. Na kuchaguliwa kuongoza vuguvugu la FRELIMO linalounganisha makundi matatu tofauti ya harakati za Uhuru yaliyo hamishoni. Mwaka elfu moja tisa mia sitini na tisa (1969), Mondlane aliuwawa kwa bomu lililotegwa kwenye kifurushi alichotumiwa.

Uhuru wa Msumbiji ulipatikana mna mwaka elfu moja tisa mia sabini na tano (1975). Tangu wakati huo, Mondlane anakumbukwa kama baba wa taifa.

Eduardo Mondlane: Kiongozi aliyeiunganisha Msumbiji - YouTube Eduardo Mondlane: Der Anführer, der Mosambik vereinte – YouTube Eduardo Mondlane: The leader who united Mozambique - YouTube Eduardo Mondlane: El líder que unió a Mozambique - YouTube ادواردو موندلین: رهبری که موزامبیک را متحد کرد - یوتیوب Eduardo Mondlane : le leader qui a uni le Mozambique - YouTube エドゥアルド・モンドラーネ: モザンビークを統一した指導者 - YouTube Eduardo Mondlane: de leider die Mozambique verenigde - YouTube Eduardo Mondlane: O líder que uniu Moçambique - YouTube Eduardo Mondlane:团结莫桑比克的领导人 - YouTube

Kutana na Eduardo Mondlane. Meet Eduardo Mondlane. Alizaliwa katika familia ya Tsonga, Kusini wa Msumbiji. He was born into a Tsonga family in Southern Mozambique. Mama yake alimwambia, nenda shule mwanangu ili uweze kupambana na mzungu. His mother told him, go to school my son so you can fight the white man. Alikubaliwa katika Chuo Kikuu cha Afrika Kusini cha Wits lakini serikali ya ubaguzi wa rangi nchini humo ilimlazimisha aondoke mnamo mwaka wa elfu moja tisa mia arobaini na tisa, (1949). He was admitted to South Africa's Wits University but the country's apartheid government forced him to leave in 1949.

Maisha yake yalikuwa mazuri zaidi nchini Marekani. His life was better in America. Alihitimu katika masomo ya sosholojia. He graduated in sociology. Mondlane alijithibitisha kama msemaji mzuri aliyezungumza kwa ufasaha. Mondlane proved himself to be a good orator who spoke fluently. Wadhifa katika baraza la uaminifu la Umoja wa Mataifa ililimpa fursa ya kwenda mbele na masomo. A position in the United Nations trust council gave him the opportunity to go ahead with studies. Wakati huo huo ukandamizaji wa kikoloni unaongezeka Msumbiji. At the same time colonial oppression is increasing in Mozambique.

Mwaka elfu moja tisa mia sitini na mbili (1962). Year one thousand nine hundred sixty two (1962). Mondlane anapokelewa Dar es Salaam Tanzania kwa mikono miwili. Mondlane is welcomed in Dar es Salaam Tanzania with open arms. Na kuchaguliwa kuongoza vuguvugu la FRELIMO linalounganisha makundi matatu tofauti ya harakati za Uhuru yaliyo hamishoni. And was chosen to lead the FRELIMO movement that unites three different groups of freedom movements in exile. Mwaka elfu moja tisa mia sitini na tisa (1969), Mondlane aliuwawa kwa bomu lililotegwa kwenye kifurushi alichotumiwa. In the year one thousand nine hundred and sixty nine (1969), Mondlane was killed by a bomb planted in a package he was carrying.

Uhuru wa Msumbiji ulipatikana mna mwaka elfu moja tisa mia sabini na tano (1975). Mozambique's independence was achieved in the year one thousand nine hundred and seventy-five (1975). Tangu wakati huo, Mondlane anakumbukwa kama baba wa taifa. Since then, Mondlane is remembered as the father of the nation.