×

Vi använder kakor för att göra LingQ bättre. Genom att besöka sajten, godkänner du vår cookie-policy.


image

Who is She?, 3- Yeye Ni Nani?

Nataka tu kujua.

Sasa nimemfahamu unayemzungumzia.

Ndugu yako anafanana na wewe.

Anaishi kwenye ghorofa ya tano.

Kuna mtu yeyote anaishi na ndugu yangu?

Ndiyo.

Nani anaishi na ndugu yangu?

Kuna msichana anayeishi na ndugu yako.

Yeye ni nani?

Tafadhali nieleze kuhusu yeye.

Siwezi kukueleza yeye ni nani.

Mbona usimuulize ndugu yako?

Nataka kujua ni nani.

Nashangaa ni nani.

Samahani, siwezi kukueleza yeye ni nani.

Ndugu yako atakueleza ikiwa anataka.

Nina hakika unajua lakini hutaki kunieleza.

Si lazima nikueleze.

Sidhani kama natakiwa kukueleza.

Lakini unaweza kunieleza ikiwa unataka.

Unapaswa kunieleza.

Nataka tu kujua. I just want to know.

Sasa nimemfahamu unayemzungumzia. Now I know who you mean.

Ndugu yako anafanana na wewe. Your brother looks like you.

Anaishi kwenye ghorofa ya tano. He lives on the fifth floor.

Kuna mtu yeyote anaishi na ndugu yangu? Does anyone live with my brother?

Ndiyo. Yes.

Nani anaishi na ndugu yangu? Who lives with my brother?

Kuna msichana anayeishi na ndugu yako. There is a girl who lives with your brother.

Yeye ni nani? Who is she?

Tafadhali nieleze kuhusu yeye. Please tell me about her.

Siwezi kukueleza yeye ni nani. I cannot tell you who she is.

Mbona usimuulize ndugu yako? Why don't you ask your brother?

Nataka kujua ni nani. I want to know who she is.

Nashangaa ni nani. I wonder who she is.

Samahani, siwezi kukueleza yeye ni nani. I am sorry, I cannot tell you who she is.

Ndugu yako atakueleza ikiwa anataka. Your brother will tell you if he wants to.

Nina hakika unajua lakini hutaki kunieleza. I am sure you know but just don't want to tell me.

Si lazima nikueleze. I do not have to tell you.

Sidhani kama natakiwa kukueleza. I do not think I should tell you.

Lakini unaweza kunieleza ikiwa unataka. But you could tell me if you wanted to.

Unapaswa kunieleza. You must tell me.