×

Vi använder kakor för att göra LingQ bättre. Genom att besöka sajten, godkänner du vår cookie-policy.


image

Who is She?, 15- Sitakusaidia

Unataka pesa kiasi gani?

Nitakueleza mara ngapi?

Sitakusaidia.

Sawa, basi nitakueleza ukweli.

Hatimaye, ukweli!

Ndugu yangu amerithi pesa nyingi kutoka kwa jamaa aliyefariki.

Hilo linanihusu kivipi?

Nataka kuhakikisha kuwa hajaoa, au kuishi katika uhusiano na msichana huyu.

Kwa nini jambo hilo lina umuhimu kwako?

Sitaki msichana apate pesa yoyote.

Kwa hivyo nahitaji msaada wako.

Ingawa wanaishi pamoja, sidhani kwamba hili linampa haki ya kupokea baadhi ya fedha.

Unajua nini kuhusu mambo hayo?

Hakika wewe si wakili.

Unataka pesa kiasi gani? How much money do you want?

Nitakueleza mara ngapi? How many times do I have to tell you?

Sitakusaidia. I will not help you.

Sawa, basi nitakueleza ukweli. OK I will tell you the truth.

Hatimaye, ukweli! Now it comes out.

Ndugu yangu amerithi pesa nyingi kutoka kwa jamaa aliyefariki. My brother has just received a lot of money from a relative who died.

Hilo linanihusu kivipi? What has that got to do with me?

Nataka kuhakikisha kuwa hajaoa, au kuishi katika uhusiano na msichana huyu. I want to make sure that he is not married or living in a relationship with this girl.

Kwa nini jambo hilo lina umuhimu kwako? Why does that matter to you?

Sitaki msichana apate pesa yoyote. I do not want the girl to get any of this money.

Kwa hivyo nahitaji msaada wako. Therefore I need your help.

Ingawa wanaishi pamoja, sidhani kwamba hili linampa haki ya kupokea baadhi ya fedha. Even if they are living together, I do not think that this gives her the right to share in the money.

Unajua nini kuhusu mambo hayo? What do you know about things like that?

Hakika wewe si wakili. You are certainly no lawyer.