×

We gebruiken cookies om LingQ beter te maken. Als u de website bezoekt, gaat u akkoord met onze cookiebeleid.


image

Swahili dialogue - Nchi ya Mwujiza, Nchi ya Mwujiza

Nchi ya Mwujiza

017 Mawe Moja, Kendu Bay Februari 20, 2016

Hujambo mpendwa binamu! Ninatumai hujambo.

Nisamehe kwa kuchelewa kujibu maswali yako kuhusu safari yangu ya kuvutia ya Kenya.

Unajua kwamba nimekuwa nje ya bara letu kwa muda.

Safari yangu ilikuwa ya siku saba. Nilisafiri na ndege ya Kenya Airways kutoka Ulaya ya Kati.

Nilifurahi sana kutembelea bara la Afrika kwa mara ya kwanza.

Siku ya kwanza ya safari yetu tulitembelea karibu katikati ya mji wa Kisumu kufurahia hali ya hewa nzuri.

Ilikuwa ni siku ya mapumziko.

Siku ya pili, mwongozo alituchukua vivutio mbalimbali vya utalii na kisha ununuzi.

Niamini, unaweza kupata zawadi ya bei nafuu nchini Kenya.

Sehemu ya kuvutia ya safari yetu ilikuwa kwenda Nairobi kupitia mabasi ambao ulifanyika siku ya tatu.

Sanaa ya mwamba katika barabara na vijiji vya jirani ni kuvutia sana.

Wakati huko, tulitembelea Makumbusho Maarufu ya Taifa ya Nairobi na kisha tukaenda bustani ya mimea.

Pengine unajua kwamba kuna ndenge nyingi za changamfu na vipepeo nchini Kenya.

Tulitumia siku nne ya mwisho ya safari yetu kwa kujifurahisha katika Kisiwa ya Lamu na mji wake wa kale.

Siku ya mwisho katika saa za alasiri tulirudi kwa mji mkuu, Nairobi nakujitaharisha kuondoka wakati wa usiku.

Nataka kwenda huko tena pengine mwaka ujao.

Nashangaa kama ungependa kuandamana nami kwa nchi ya mwujiza ya Kenya.

Kwaheri kwa sasa, ninamatumaini ya kusikia kutoka kwako kuhusu safari yako Ulaya.

Asante sana, Kanyaga.

Nchi ya Mwujiza Das Land des Wunders The Land of the Miracle La tierra del milagro Le pays du miracle 奇跡の国 Het land van het wonder Kraina Cudów A Terra do Milagre 奇迹之地 奇迹之地

017 Mawe Moja, Kendu Bay Februari 20, 2016 017 Mawe Moja, Kendu Bay February 20, 2016 017 Mawe Moja, Kendu Bay 20 februari 2016

Hujambo mpendwa binamu! Hello dear cousin! Hallo lieve neef! Ninatumai hujambo. I hope hello.

Nisamehe kwa kuchelewa kujibu maswali yako kuhusu safari yangu ya kuvutia ya Kenya. Forgive me for the delay in answering your questions about my interesting trip to Kenya.

Unajua kwamba nimekuwa nje ya bara letu kwa muda. You know that I have been out of our country for a while.

Safari yangu ilikuwa ya siku saba. My trip was for seven days. Nilisafiri na ndege ya Kenya Airways kutoka Ulaya ya Kati. I flew with Kenya Airways from Central Europe.

Nilifurahi sana kutembelea bara la Afrika kwa mara ya kwanza. I was very happy to visit the continent of Africa for the first time.

Siku ya kwanza ya safari yetu tulitembelea karibu katikati ya mji wa Kisumu kufurahia hali ya hewa nzuri. On the first day of our trip we visited near the center of Kisumu town to enjoy the good weather.

Ilikuwa ni siku ya mapumziko. It was a day off.

Siku ya pili, mwongozo alituchukua vivutio mbalimbali vya utalii na kisha ununuzi. On the second day, the guide took us to various tourist attractions and then shopping.

Niamini, unaweza kupata zawadi ya bei nafuu nchini Kenya. Trust me, you can find a cheap gift in Kenya.

Sehemu ya kuvutia ya safari yetu ilikuwa kwenda Nairobi kupitia mabasi ambao ulifanyika siku ya tatu. The interesting part of our trip was going to Nairobi via buses which happened on the third day. La partie intéressante de notre voyage était d'aller à Nairobi en bus, ce qui s'est passé le troisième jour.

Sanaa ya mwamba katika barabara na vijiji vya jirani ni kuvutia sana. The rock art in the streets and neighboring villages is very interesting. L'art rupestre dans les rues et les villages voisins est très intéressant.

Wakati huko, tulitembelea Makumbusho Maarufu ya Taifa ya Nairobi na kisha tukaenda bustani ya mimea. While there, we visited the Nairobi National Museum and then went to the botanical garden. Pendant notre séjour, nous avons visité le musée national de Nairobi, puis nous sommes allés au jardin botanique.

Pengine unajua kwamba kuna ndenge nyingi za changamfu na vipepeo nchini Kenya. You probably know that there are many colorful butterflies and moths in Kenya. Vous savez probablement qu'il existe de nombreux papillons et mites colorés au Kenya.

Tulitumia siku nne ya mwisho ya safari yetu kwa kujifurahisha katika Kisiwa ya Lamu na mji wake wa kale. We spent the last four days of our trip enjoying Lamu Island and its old town. Nous avons passé les quatre derniers jours de notre voyage à profiter de l'île de Lamu et de sa vieille ville.

Siku ya mwisho katika saa za alasiri tulirudi kwa mji mkuu, Nairobi nakujitaharisha kuondoka wakati wa usiku. On the last day in the afternoon we returned to the capital, Nairobi, preparing to leave at night. Le dernier jour dans l'après-midi, nous sommes retournés à la capitale, Nairobi, en nous préparant à partir dans la nuit.

Nataka kwenda huko tena pengine mwaka ujao. I want to go there again maybe next year.

Nashangaa kama ungependa kuandamana nami kwa nchi ya mwujiza ya Kenya. I wonder if you would like to accompany me to the miraculous land of Kenya. Je me demande si vous aimeriez m'accompagner au pays miraculeux du Kenya.

Kwaheri kwa sasa, ninamatumaini ya kusikia kutoka kwako kuhusu safari yako Ulaya. Goodbye for now, I hope to hear from you about your trip to Europe. Au revoir pour l'instant, j'espère avoir de vos nouvelles sur votre voyage en Europe.

Asante sana, Kanyaga. Thank you very much, Kanyaga. Merci beaucoup Kanyaga.