×

We gebruiken cookies om LingQ beter te maken. Als u de website bezoekt, gaat u akkoord met onze cookiebeleid.


image

LingQ Mini Stories, 17- Ninarudi Nyumbani Kutoka Kazini

Oscar anarudi nyumbani kutoka kazini.

Anaendesha kuelekea nyumbani kutoka kazini kila siku.

Kuna magari mengine mengi kwenye barabara.

Barabara imejaa sana huwezi kuendesha kasi.

Oscar anafadhaika na kukasirika.

Anawasha redio kusikiliza habari.

Kisha, anasikiliza muziki.

Anaimba pia ikitokea maneno anayajua.

Ila, Oscar ameboreka na kuchoka.

Oscar anafikiria kununua pikipiki badala yake.

Hii ni hadithi hiyo ikisimuliwa na Oscar.

Ninarudi nyumbani kutoka kazini.

Ninaendesha kuelekea nyumbani kutoka kazini kila siku.

Kuna magari mengine mengi barabarani.

Barabara imejaa sana huwezi kuendesha kasi.

Ninajisikia kufadhaika na kukasirika.

Ninawasha redio nisikilize habari.

Kisha, ninasikiliza muziki.

Ninaimba pia inapotokea ninayajua maneno.

Ila, bado nimeboreka na nimechoka.

Ninafikiria kununua pikipiki badala yake.

Maswali.

1) Oscar anarudi nyumbani kutoka kazini ndani ya gari lake. Je, Oscar yupo kazini? Hapana, Oscar hayupo kazini. Anarudi nyumbani kutoka kazini ndani ya gari lake.

2) Kuna magari mengine mengi katika barabara pamoja na Oscar. Je, kuna magari mengine mengi katika barabara? Ndiyo, kuna magari mengine mengi katika barabara pamoja na Oscar.

3) Oscar hawezi kuendesha kwa kasi kwasababu barabara imejaa. Je, Oscar anaweza kuendesha kwa kasi? Hapana, Oscar hawezi kuendesha kwa kasi kwa sababu barabara imejaa sana.

4) Oscar anajisikia kufadhaika na kukasirika. Je, Oscar anajisikia furaha? Hapana, Oscar hajisikii furaha. Anajisikia kufadhaika na kukasirika.

5) Oscar anasikiliza habari katika redio ndani ya gari. Je, Oscar anasikiliza habari? Ndiyo, Oscar anasikiliza habari kwenye redio ndani ya gari lake.

6) Oscar anaimba na nyimbo inapotokea anayajua maneno. Je, Oscar anaimba? Ndiyo, anaimba ikitokea anayajua maneno.

7) Oscar anafikiria anaweza kununua pikipiki, badala ya kuendesha gari. Je, Oscar anataka pikipiki? Ndiyo, anafikiria anaweza kununua pikipiki badala ya kuendesha gari.

Oscar anarudi nyumbani kutoka kazini. Marco is coming home from work.

Anaendesha kuelekea nyumbani kutoka kazini kila siku. He drives home from work every day.

Kuna magari mengine mengi kwenye barabara. There are many other cars on the highway.

Barabara imejaa sana huwezi kuendesha kasi. The highway is too crowded to move.

Oscar anafadhaika na kukasirika. Marco feels frustrated and angry.

Anawasha redio kusikiliza habari. Er schaltet das Radio ein, um die Nachrichten zu hören. He turns on the radio to hear the news.

Kisha, anasikiliza muziki. Then, he listens to some songs.

Anaimba pia ikitokea maneno anayajua. Still, Marco is bored and tired.

Ila, Oscar ameboreka na kuchoka. The highway is too crowded every day.

Oscar anafikiria kununua pikipiki badala yake. Marco thinks about buying a motorcycle instead.

Hii ni hadithi hiyo ikisimuliwa na Oscar. Here is the same story told in a different way.

Ninarudi nyumbani kutoka kazini. I am coming home from work.

Ninaendesha kuelekea nyumbani kutoka kazini kila siku. I drive home from work every day.

Kuna magari mengine mengi barabarani. There are many other cars on the highway.

Barabara imejaa sana huwezi kuendesha kasi. The highway is too crowded to move.

Ninajisikia kufadhaika na kukasirika. I feel frustrated and angry.

Ninawasha redio nisikilize habari. Ich schalte das Radio ein, um die Nachrichten zu hören. I turn on the radio to hear the news.

Kisha, ninasikiliza muziki. Then, I listen to some songs.

Ninaimba pia inapotokea ninayajua maneno. Still, I am bored and tired.

Ila, bado nimeboreka na nimechoka. Aber mir geht es immer noch besser und ich bin müde. The highway is too crowded every day.

Ninafikiria kununua pikipiki badala yake. I think about buying a motorcycle instead.

Maswali. Questions:

1) Oscar anarudi nyumbani kutoka kazini ndani ya gari lake. One: Marco is coming home from work in his car. Je, Oscar yupo kazini? Is Marco at work? Hapana, Oscar hayupo kazini. No, Marco is not at work. Anarudi nyumbani kutoka kazini ndani ya gari lake. he is coming home from work in his car.

2) Kuna magari mengine mengi katika barabara pamoja na Oscar. Two: There are many other cars on the highway with Marco. Je, kuna magari mengine mengi katika barabara? Are there other cars on the highway? Ndiyo, kuna magari mengine mengi katika barabara pamoja na Oscar. Yes, there are many other cars on the highway with Marco.

3) Oscar hawezi kuendesha kwa kasi kwasababu barabara imejaa. Three: Marco cannot move because the highway is too crowded. Je, Oscar anaweza kuendesha kwa kasi? Can Marco move? Hapana, Oscar hawezi kuendesha kwa kasi kwa sababu barabara imejaa sana. No, Marco cannot move because the highway is too crowded.

4) Oscar anajisikia kufadhaika na kukasirika. Four: Marco feels frustrated and angry. Je, Oscar anajisikia furaha? Does Marco feel happy? Hapana, Oscar hajisikii furaha. No, Marco does not feel happy. Anajisikia kufadhaika na kukasirika. he feels frustrated and angry.

5) Oscar anasikiliza habari katika redio ndani ya gari. Five: Marco listens to the news on the radio in his car. Je, Oscar anasikiliza habari? Does Marco listen to the news? Ndiyo, Oscar anasikiliza habari kwenye redio ndani ya gari lake. Yes, Marco listens to the news on the radio in his car.

6) Oscar anaimba na nyimbo inapotokea anayajua maneno. Six: The highway is always crowded every day. Je, Oscar anaimba? Is the highway always crowded? Ndiyo, anaimba ikitokea anayajua maneno. Yes, the highway is always crowded every day.

7) Oscar anafikiria anaweza kununua pikipiki, badala ya kuendesha gari. Seven: Marco thinks he might buy a motorcycle instead of driving. Je, Oscar anataka pikipiki? Does Marco want a motorcycle? Ndiyo, anafikiria anaweza kununua pikipiki badala ya kuendesha gari. Yes, he thinks he might buy a motorcycle instead of driving.