×

We gebruiken cookies om LingQ beter te maken. Als u de website bezoekt, gaat u akkoord met onze cookiebeleid.


image

LingQ Mini Stories, 14- Huwa Ninapenda Kusikiliza Muziki

Aisha huwa anapenda kusikiliza muziki.

Anataka kujifunza namna ya kucheza.

Anaenda katika darasa lake la kwanza la kucheza.

Mwalimu anamwambia anyooshe miguu yake.

Aisha anajaribu kunyoosha miguu yake.

Lakini hawezi kunyoosha mbali sana.

Mwalimu anamwambia aruke.

Aisha anajaribu kuruka, lakini anadondoka chini.

Misuli ya Aisha ina maumivu baada ya darasa.

Labda hawezi kujifunza namna ya kucheza.

Hii ni hadithi hiyo ikisimuliwa na Aisha.

Huwa ninapenda kusikiliza muziki.

Ninataka kujifunza namna ya kucheza.

Ninaenda katika darasa langu la kwanza la kucheza.

Mwalimu ananiambia ninyooshe miguu yangu.

Ninajaribu kunyoosha miguu yangu.

Lakini siwezi kunyoosha mbali sana.

Mwalimu ananiambia niruke.

Ninajaribu kuruka, lakini ninadondoka chini.

Misuli yangu ina maumivu baada ya darasa.

Labda siwezi kujifunza namna ya kucheza.

Maswali.

1) Aisha huwa anapenda kusikiliza muziki. Je, Aisha anapenda muziki? Ndiyo, Aisha huwa anapenda kusikiliza muziki.

2) Aisha anataka kujifunza namna ya kucheza. Je, Aisha anataka kujifunza namna ya kucheza? Ndiyo, Aisha anataka kujifunza namna ya kucheza.

3) Aisha anaenda kwenye darasa la kucheza. Je, Aisha anaenda kwenye darasa la kinanda? Hapana, Aisha hajaenda kwenye darasa la kinanda. Anaenda kwenye darasa la kucheza.

4) Mwalimu anamwambia Aisha anyooshe miguu yake. Je, mwalimu anamwambia Aisha anyooshe mikono yake? Hapana, mwalimu hamwambii anyooshe mikono yake. Mwalimu anamwambia kunyoosha miguu yake.

5) Aisha hawezi kunyoosha miguu yake mbali sana. Je, Aisha anaweza kunyoosha miguu yake mbali? Hapana, Aisha hawezi kunyoosha miguu yake mbali sana.

6) Aisha anajaribu kuruka, lakini anadondoka chini. Je, Aisha anadondoka chini? Ndiyo, Aisha anajaribu kuruka, lakini anadondoka chini.

7) Misuli ya Aisha ina maumivu baada ya darasa. Je, misuli ya Aisha ina maumivu baada ya darasa? Ndiyo, misuli ya Aisha ina maumivu baada ya darasa.

8) Labda Aisha hawezi kujifunza kucheza. Je, Aisha anaweza kujifunza kucheza? Labda Aisha hawezi kujifunza kucheza.

Aisha huwa anapenda kusikiliza muziki. Aisha hört gerne Musik. Kelly likes to listen to music. Aisha aime écouter de la musique.

Anataka kujifunza namna ya kucheza. Er möchte spielen lernen. She wants to learn how to dance.

Anaenda katika darasa lake la kwanza la kucheza. Sie geht zu ihrem ersten Tanzkurs. She goes to her first dance class.

Mwalimu anamwambia anyooshe miguu yake. Der Lehrer sagt ihm, er solle seine Beine strecken. The teacher tells her to stretch her legs.

Aisha anajaribu kunyoosha miguu yake. Kelly tries to stretch her legs.

Lakini hawezi kunyoosha mbali sana. But she can't stretch very far.

Mwalimu anamwambia aruke. The teacher tells her to jump.

Aisha anajaribu kuruka, lakini anadondoka chini. Kelly tries to jump, but falls down.

Misuli ya Aisha ina maumivu baada ya darasa. Aishas Muskeln schmerzen nach dem Unterricht. Kelly's muscles are sore after class.

Labda hawezi kujifunza namna ya kucheza. Maybe she can't learn how to dance.

Hii ni hadithi hiyo ikisimuliwa na Aisha. Here is the same story told in a different way.

Huwa ninapenda kusikiliza muziki. I like to listen to music.

Ninataka kujifunza namna ya kucheza. Ich möchte lernen, wie man spielt. I want to learn how to dance.

Ninaenda katika darasa langu la kwanza la kucheza. I go to my first dance class.

Mwalimu ananiambia ninyooshe miguu yangu. Der Lehrer sagt mir, ich solle meine Beine strecken. The teacher tells me to stretch my legs.

Ninajaribu kunyoosha miguu yangu. I try to stretch my legs.

Lakini siwezi kunyoosha mbali sana. But I can't stretch very far.

Mwalimu ananiambia niruke. Der Lehrer sagt mir, ich soll springen. The teacher tells me to jump. Le professeur me dit de sauter.

Ninajaribu kuruka, lakini ninadondoka chini. I try to jump, but fall down.

Misuli yangu ina maumivu baada ya darasa. My muscles are sore after class.

Labda siwezi kujifunza namna ya kucheza. Maybe I can't learn how to dance.

Maswali. Questions:

1) Aisha huwa anapenda kusikiliza muziki. One: Kelly likes to listen to music. Je, Aisha anapenda muziki? Does Kelly like music? Ndiyo, Aisha huwa anapenda kusikiliza muziki. Yes, Kelly likes to listen to music.

2) Aisha anataka kujifunza namna ya kucheza. Two: Kelly wants to learn how to dance. Je, Aisha anataka kujifunza namna ya kucheza? Does Kelly want to learn how to dance? Ndiyo, Aisha anataka kujifunza namna ya kucheza. Yes, Kelly wants to learn how to dance.

3) Aisha anaenda kwenye darasa la kucheza. Three: Kelly goes to a dance class. Je, Aisha anaenda kwenye darasa la kinanda? Does Kelly go to a piano class? Hapana, Aisha hajaenda kwenye darasa la kinanda. No, Kelly does not go to a piano class. Anaenda kwenye darasa la kucheza. She goes to a dance class.

4) Mwalimu anamwambia Aisha anyooshe miguu yake. Four: The teacher tells Kelly to stretch her legs. Je, mwalimu anamwambia Aisha anyooshe mikono yake? Does the teacher tell Kelly to stretch her arms? Hapana, mwalimu hamwambii anyooshe mikono yake. No, the teacher does not tell her to stretch her arms. Mwalimu anamwambia kunyoosha miguu yake. The teacher tells her to stretch her legs.

5) Aisha hawezi kunyoosha miguu yake mbali sana. Five: Kelly can't stretch her legs very far. Je, Aisha anaweza kunyoosha miguu yake mbali? Can Kelly stretch her legs far? Hapana, Aisha hawezi kunyoosha miguu yake mbali sana. No, Kelly can't stretch her legs very far.

6) Aisha anajaribu kuruka, lakini anadondoka chini. Six: Kelly tries to jump, but she falls down. Je, Aisha anadondoka chini? Does Kelly fall down? Ndiyo, Aisha anajaribu kuruka, lakini anadondoka chini. Yes, Kelly tries to jump, but she falls down.

7) Misuli ya Aisha ina maumivu baada ya darasa. Seven: Kelly's muscles are sore after class. Je, misuli ya Aisha ina maumivu baada ya darasa? Are Kelly's muscles sore after class? Ndiyo, misuli ya Aisha ina maumivu baada ya darasa. Yes, Kelly's muscles are sore after class.

8) Labda Aisha hawezi kujifunza kucheza. Eight: Maybe Kelly can't learn how to dance. Je, Aisha anaweza kujifunza kucheza? Can Kelly learn how to dance? Labda Aisha hawezi kujifunza kucheza. Maybe Kelly can't learn how to dance.