×

We gebruiken cookies om LingQ beter te maken. Als u de website bezoekt, gaat u akkoord met onze cookiebeleid.

LingQ 101 - Getting Started, Jifunze kutoka kwenye mada zin… – Tekst om te lezen

LingQ 101 - Getting Started, Jifunze kutoka kwenye mada zinazokuvutia

Beginner 1 Swahili les om lezen te oefenen

Begin nu met het leren van deze les

Chagua somo ambalo linakuvutia.

Hili ni jambo la muhimu.

Chagua somo ambalo sio gumu sana kwako.

Utajifunza mengi zaidi ikiwa somo ni lile linalokuvutia.

Utajifunza mengi zaidi ikiwa somo sio gumu sana.

Kama ni somo linalokuvutia, utajitahidi zaidi kuelewa.

Masomo yanaweza kuwa magumu kuyaelewa.

Usijali kuhusu hilo.

Muda sio mrefu masomo yatakuwa mepesi.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE