×

We gebruiken cookies om LingQ beter te maken. Als u de website bezoekt, gaat u akkoord met onze cookiebeleid.

image

LingQ 101 - Getting Started, Chagua somo

Chagua somo ambalo ni rahisi kwako.

Chagua somo ambalo linakuvutia wewe binafsi.

Tafadhali chukua muda kusoma somo hilo.

Tafadhali sikiliza somo hilo.

Kwa mara ya kwanza unaweza usielewe.

Tizama tafsiri za maneno na sentensi mpya.

Unaweza ukazisahau, Lakini usijali kabisa kuhusu hilo.

Sikiliza masomo hayo mara nyingi.

Soma masomo hayo mara nyingi.

Sikiliza katika kifaa chako cha MP3 cha kuchezea miziki mara nyingi.

Baada ya hapo utaelewa kidogo.

Muda sio mrefu utaelewa zaidi.

Na siku moja utaongea lugha hiyo.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE