×

우리는 LingQ를 개선하기 위해서 쿠키를 사용합니다. 사이트를 방문함으로써 당신은 동의합니다 쿠키 정책.

Who is She?, 24- Sikuamini – 읽을 텍스트

Who is She?, 24- Sikuamini

초급 1 읽기를 연습하는 스와힐리어 수업

지금 본 레슨 학습 시작

Angalia, Ibrahim ni mwalimu katika tovuti ya lugha inayoitwa LingQ.

Sielewi.

Alinionyeshea jinsi ya kujifunza kwenye LingQ.

Hiyo ndiyo iliyonisaidia sana.

Unamaanisha LingQ ilikusaidia zaidi kuliko kuishi na Ibrahim?

Wote wawili walinisaidia, lakini LingQ ndiyo iliyonisaidia sana.

Sikuamini, Sikuelewi.

Ibrahim alinisaidia kugundua kwamba njia niliyotumia kujifunza Kiingereza ilikuwa mbaya.

Nilikuwa na wasiwasi sana kuhusu sarufi.

Niliogopa sana kufanya makosa.

Nilikuwa na wasiwasi sana kuaibika.

Lakini si unahitaji kujua sarufi ili kuzungumza vizuri?

Hapana.

Nilianza kutambua kwamba kama nilifurahia kujifunza Kiingereza, haikujalisha ikiwa nilikosea.

Singeaibika kufanya makosa.

Kufanya makosa ni sehemu ya kujifunza.

Kwa hivyo umejifunza jinsi gani?

Ibrahim alinieleza tu nisikilize na nisome kwa wingi na nihifandhi maneno na misemo kwenye LingQ.

Hapo ndipo nilipoanza kufurahia lugha.

Hapo ndipo nilipoanza kuboresha Kiingereza changu.

Kwa kutojali kuhusu sarufi, ulianza kuzungumza vizuri?

Ndiyo, ilibidi nisijalishwe na yale niliyofundishwa shuleni kwa miaka mingi.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE