×

우리는 LingQ를 개선하기 위해서 쿠키를 사용합니다. 사이트를 방문함으로써 당신은 동의합니다 쿠키 정책.

LingQ 101 - Getting Started, Msamihati – Text to read

LingQ 101 - Getting Started, Msamihati

초급 1 스와힐리어 lesson to practice reading

지금 본 레슨 학습 시작

Inakupasa kuwa unapitia maneno yako mapya na sentensi mpya mara kwa mara.

Usijali kama umeyasahau.

Usijali kama utashindwa kuyakumbuka.

Unaweza kupitia maneno na sentensi zako za njano katika masomo.

Unaweza kwenda katika ukurasa wa msamihati ili kupitia tena maneno na sentensi zako mpya.

Humo unaweza kutumia kadi yako ya maneno ili kupitia maneno na sentensi zako mpya.

Kama utakuwa na maswali unaweza kumuuliza mwalimu

Unaweza kuandika taarifa kuhusu sarufi za kila LingQ utakayotengeneza.

Unaweza kurudia mifano ya kila LingQ utakayotengeneza.

Hili litakusaidia kujifunza namna maneno haya mapya yanavyotumika.

Unaweza kuweka lebo kwenye kila LingQ utakazo zitengeneza.

Kama utaweka lebo juu ya LingQ hii itakusaidia kurudia LingQ zote ambazo zina lebo moja.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE