×

우리는 LingQ를 개선하기 위해서 쿠키를 사용합니다. 사이트를 방문함으로써 당신은 동의합니다 쿠키 정책.


image

LingQ 101 - Getting Started, Kuandika

Ukiwa tayari, unatakiwa uandike.

Unaweza kujiandikia mwenyewe tu.

Hii itakusaidia kukumbuka maneno mapya.

Kuandika kunakusaidia kufikiria kwa lugha mpya.

Unaweza kumuomba mwalimu akusahihishe uandishi wako.

Ikiwa mwalimu atasahihisha uandishi wako, utapokea ripoti.

Ripoti itaonyesha makosa yako.

Unaweza kutunza maneno na sentensi kutoka kwenye ripoti yako ya uandishi.

Unaweza kutengeneza LingQ kutoka kwenye ripoti yako ya uandishi.

Hii itakusaidia kujifunza kutokana na makosa yako.

Itakubidi kuisoma ripoti yako ya uandishi.

Ukiwa tayari, unatakiwa uandike. Wenn Sie bereit sind, müssen Sie schreiben. When you are ready, you should write.

Unaweza kujiandikia mwenyewe tu. Du kannst nur für dich selbst schreiben. You can write for yourself.

Hii itakusaidia kukumbuka maneno mapya. Dies wird Ihnen helfen, sich neue Wörter zu merken. This helps you remember your new words.

Kuandika kunakusaidia kufikiria kwa lugha mpya. Schreiben hilft Ihnen, in einer neuen Sprache zu denken. Writing helps you think in the new language.

Unaweza kumuomba mwalimu akusahihishe uandishi wako. You can even ask a tutor to correct your writing.

Ikiwa mwalimu atasahihisha uandishi wako, utapokea ripoti. Wenn der Lehrer Ihre Schrift korrigiert, erhalten Sie einen Bericht. If a tutor corrects your writing, you will receive a report.

Ripoti itaonyesha makosa yako. The report will point out your mistakes.

Unaweza kutunza maneno na sentensi kutoka kwenye ripoti yako ya uandishi. Sie können Wörter und Sätze aus Ihrem Schreibbericht speichern. You can save words and phrases from your writing report.

Unaweza kutengeneza LingQ kutoka kwenye ripoti yako ya uandishi. Sie können LingQ aus Ihrem Schreibbericht generieren. You can create LingQs from your writing report.

Hii itakusaidia kujifunza kutokana na makosa yako. Dies wird Ihnen helfen, aus Ihren Fehlern zu lernen. This will help you learn from your mistakes.

Itakubidi kuisoma ripoti yako ya uandishi. You need to study your writing report.