×

우리는 LingQ를 개선하기 위해서 쿠키를 사용합니다. 사이트를 방문함으로써 당신은 동의합니다 쿠키 정책.

LingQ 101 - Getting Started, Jifunze kutoka kwenye mada z... – 읽을 텍스트

LingQ 101 - Getting Started, Jifunze kutoka kwenye mada zinazokuvutia

초급 1 읽기를 연습하는 스와힐리어 수업

지금 본 레슨 학습 시작

Chagua somo ambalo linakuvutia.

Hili ni jambo la muhimu.

Chagua somo ambalo sio gumu sana kwako.

Utajifunza mengi zaidi ikiwa somo ni lile linalokuvutia.

Utajifunza mengi zaidi ikiwa somo sio gumu sana.

Kama ni somo linalokuvutia, utajitahidi zaidi kuelewa.

Masomo yanaweza kuwa magumu kuyaelewa.

Usijali kuhusu hilo.

Muda sio mrefu masomo yatakuwa mepesi.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE