×

우리는 LingQ를 개선하기 위해서 쿠키를 사용합니다. 사이트를 방문함으로써 당신은 동의합니다 쿠키 정책.

LingQ 101 - Getting Started, Habari. Unaendeleaje? – Text to read

LingQ 101 - Getting Started, Habari. Unaendeleaje?

초급 1 스와힐리어 lesson to practice reading

지금 본 레슨 학습 시작

Habari, Unaendeleaje?

Karibu LingQ.

Jina lako unaitwa nani?

Unataka kujifunza lugha mpya.

Vizuri, Utaweza kujifunza kupitia LingQ.

Utajifunza maneno mengi sana mapya.

Kwanza utajifunza kuielewa lugha mpya.

Hautajifunza sheria za kisarufi za lugha.

Utajifunza kwa njia zitakazofanya ufurahie lugha ngeni.

Hii ndiyo njia bora kabisa ya kujifunzia lugha ngeni.

Hii ni hatua ya kwanza kama unataka kujua kuongea lugha ngeni.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE