×

LingQをより快適にするためCookieを使用しています。サイトの訪問により同意したと見なされます クッキーポリシー.

Who is She?, 3- Yeye Ni Nani? – 読むためのテキスト

Who is She?, 3- Yeye Ni Nani?

初級1 スワヒリ語 の読み練習用レッスン

今すぐこのレッスンを開始

Nataka tu kujua.

Sasa nimemfahamu unayemzungumzia.

Ndugu yako anafanana na wewe.

Anaishi kwenye ghorofa ya tano.

Kuna mtu yeyote anaishi na ndugu yangu?

Ndiyo.

Nani anaishi na ndugu yangu?

Kuna msichana anayeishi na ndugu yako.

Yeye ni nani?

Tafadhali nieleze kuhusu yeye.

Siwezi kukueleza yeye ni nani.

Mbona usimuulize ndugu yako?

Nataka kujua ni nani.

Nashangaa ni nani.

Samahani, siwezi kukueleza yeye ni nani.

Ndugu yako atakueleza ikiwa anataka.

Nina hakika unajua lakini hutaki kunieleza.

Si lazima nikueleze.

Sidhani kama natakiwa kukueleza.

Lakini unaweza kunieleza ikiwa unataka.

Unapaswa kunieleza.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE