×

LingQをより快適にするためCookieを使用しています。サイトの訪問により同意したと見なされます クッキーポリシー.

Who is She?, 25- Yeye Ni Mchafu – 読むためのテキスト

Who is She?, 25- Yeye Ni Mchafu

初級1 スワヒリ語 の読み練習用レッスン

今すぐこのレッスンを開始

Siwezi kukumbuka mengi ya yale niliyojifunza shuleni.

Kwangu mimi, hakuna mengi ya kusahau.

Mimi pia!

Lakini njia niliyotumia kujifunza lugha shuleni ilinifanya nichukie kujifunza lugha.

Ilifanya nikaidi lugha niliyojifunza.

Nina hakika hilo ni kweli kwa watu wengi.

Ndio Watu wanapaswa kujifunza kufurahia lugha.

Watu wanapaswa kuacha kukaidi lugha na kuichukua kama kitu cha kawaida.

Naam, nadhani ilifaulu kwako.

Kwa uhakika.

Ibrahim alinifundisha hilo, nami nikamruhusu kuishi katika nyumba yangu.

Kwa hivyo hukumkataa Ibrahim aidha?

Unamaanisha nini?

Yeye sio mpenzi wangu.

Hatulali kitanda kimoja!

Ilikuwa jambo nzuri kumruhusu kuishi katika nyumba yako.

Ilikuwa ni manufaa kwangu.

Nilikuwa na mazungumzo ya bure ya Kiingereza pamoja naye wakati wa kifungua kinywa na wakati wa chakula cha jioni.

Wakati mwingine tunaenda kwa karamu pamoja.

Nadhani hilo lilisaidia Kiingereza chako.

Ndiyo, lakini sasa nataka aondoke.

Simhitaji tena.

Mbali na hilo, ameanza kunisumbua.

Kwanini unasema hivyo?

Mbona humtaki karibu tena?

Yeye ni mchafu.

Hazingatii usafi.

Anacha nguo chafu kila mahali

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE